Kila nikipanda gari nalala fofofo, nawezaje kumaliza tatizo hili?

Kila nikipanda gari nalala fofofo, nawezaje kumaliza tatizo hili?

Pole sana kwa tatizo linalokupata. Wako wengi nadhani wenye tatizo kama lako. Mmoja aliniambia alikataaa kujifunza kuendesha gari kwa kuwa ana tatizo la kupata usingizi akitulia kidogo.

Ushauri: JIHAMI tunza fedha,na kitu muhimu kwako kwenye mifuko salama unapokuwa kwenye usafiri. Kama ni mwanamke shona mifuko kwenye nguo zako au tight yako au uwe unavaa kaptula ya ndani yenye mifuko yenye zipu. Mwanaume weka fedha kweye nguo za ndani. Uwe unavaa nguo ya ndani yenye mifuko mirefu yenye zipu. Hii ni wakari huko nje na nyumba yako ambapo unaweza kuhifadhi

JIKUBALI na usiseme tatizo lako kwa kila mtu.

Ukipata nafasi mwone daktari bingwa wa magonjwa mchanganyiko(internal medicine) anaweza kukusaidia.
 
hamna dakitar anaeweza tibu ukiwaelezea wanasema utakua uchovu sasa uo uchovu ndo miaka yote
 
Kama hujawahi kumuona mtu mwenye tatizo au ugonjwa kama huo unaweza ukasema chai.
Ila mimi ninamtu namjua akikaa sehemu amatulia dakika tano anakoroma kabisa.
Yaani mfano akitoka mbezi kapanda gari za mlandizi bila kumwambia konda kituo anacho shuka atakuja kuamshwa akiwa mlandizi.

[emoji23][emoji23][emoji3]ndo yanayonikuta
 
huu ugonjwa labda aje anitibu [mention]Donatila [/mention] ndo nitapona
 
Piga usingizi boss, maisha mafupi, kambi popote, Mimi hata kwenye boda nalala.

Sasa Kutoka kulala juu ya mawe mpaka kwenye Basi haya si maendeleo?

Jiwe afe mara ya pilii.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] we Jamaa wewe
 
Fanya mazoezi kabla ujaondoka kujua kahawa walau vikombe viwili usiweke sukari

Kunywa maji at least Lita 1

The endelea na mizunguko Yako fanya hivyo Kila Siku.
 
Nikisafiri na IT huwa silali nakua bize na dereva asilale, naweza nisilale hata Massa 72 bila shida.
 
Back
Top Bottom