Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Hilo sio tatizo ni dawa ya stress, kwasabb nyumbani hulali panawaka moto.
Hii shida ninayo sana ya usingizi ulioptiliza.
Kila nikipanda gari, daladala hata safari fupi lazima nilale fofofoo. Shida hii imepelekea kupitilizwa vituo sometimes.
Je, hili tatizo dawa yake nini?
Kwahiyo kitulizo cha stress zako ni kupanda daladala ili utulize stress kwa usingiz tulivu na murua. Ongeza juhudi hiyo doz inaponya kabisa.
Epuka kukaa mazingira yanayokupa stress kwa muda mrefu