Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
Kacheki afya, labda mwili wako umeshajenga sumu nyingi tokana na vyakula unavyokula.Hii shida ninayo sana ya usingizi uloptiliza
Kila nikipanda gari, daladala hata safari fupi lazima nilale fofofoo .
Shida hii imepelekea kupitilizwa vituo sometimes.
Je, hili tatizo dawa yake nini
Unalala saa ngap na unaamka saa ngapiHii shida ninayo sana ya usingizi uloptiliza
Kila nikipanda gari, daladala hata safari fupi lazima nilale fofofoo .
Shida hii imepelekea kupitilizwa vituo sometimes.
Je, hili tatizo dawa yake nini
ChaiHii shida ninayo sana ya usingizi uloptiliza
Kila nikipanda gari, daladala hata safari fupi lazima nilale fofofoo .
Shida hii imepelekea kupitilizwa vituo sometimes.
Je, hili tatizo dawa yake nini
Binadamu kwa siku unatakiwa ulale masaa 8 na kuendelea... Wewe unalala masaa mangapi na unafanya shughuli gani, uenda hata shughuli unazofanya upumziki vya kutosha.Hii shida ninayo sana ya usingizi uloptiliza
Kila nikipanda gari, daladala hata safari fupi lazima nilale fofofoo .
Shida hii imepelekea kupitilizwa vituo sometimes.
Je, hili tatizo dawa yake nini
Sasa jamaa anapatia wapi huo mkiaUsiwe unapanda gari, printi moko moko by ngoko mwendo wa ngiri mkia juu.
Mzunguko wako wa damu hauko sawa. Hewa pia haifiki kwenye ubongo vizuri.Hii shida ninayo sana ya usingizi uloptiliza
Kila nikipanda gari, daladala hata safari fupi lazima nilale fofofoo .
Shida hii imepelekea kupitilizwa vituo sometimes.
Je, hili tatizo dawa yake nini
Una malale mzee
Hii shida ninayo sana ya usingizi ulioptiliza.
Kila nikipanda gari, daladala hata safari fupi lazima nilale fofofoo. Shida hii imepelekea kupitilizwa vituo sometimes.
Je, hili tatizo dawa yake nini?
kwa hiyo mtoa mada hana sehemu ya kulala ndio maana analala kwenye public vehiclePiga usingizi boss, maisha mafupi, kambi popote.
Kutoka kulala juu ya mawe mpaka kwenye Basi haya si maendeleo.
Jiwe afe