Kama hujawahi kumuona mtu mwenye tatizo au ugonjwa kama huo unaweza ukasema chai.Chai
piga nyeto mara mbili kwa siku asubuhi na jioni
Pole sana kwa tatizo linalokupata. Wako wengi nadhani wenye tatizo kama lako. Mmoja aliniambia alikataaa kujifunza kuendesha gari kwa kuwa ana tatizo la kupata usingizi akitulia kidogo.
Ushauri: JIHAMI tunza fedha,na kitu muhimu kwako kwenye mifuko salama unapokuwa kwenye usafiri. Kama ni mwanamke shona mifuko kwenye nguo zako au tight yako au uwe unavaa kaptula ya ndani yenye mifuko yenye zipu. Mwanaume weka fedha kweye nguo za ndani. Uwe unavaa nguo ya ndani yenye mifuko mirefu yenye zipu. Hii ni wakari huko nje na nyumba yako ambapo unaweza kuhifadhi
JIKUBALI na usiseme tatizo lako kwa kila mtu.
Ukipata nafasi mwone daktari bingwa wa magonjwa mchanganyiko(internal medicine) anaweza kukusaidia.
Kama hujawahi kumuona mtu mwenye tatizo au ugonjwa kama huo unaweza ukasema chai.
Ila mimi ninamtu namjua akikaa sehemu amatulia dakika tano anakoroma kabisa.
Yaani mfano akitoka mbezi kapanda gari za mlandizi bila kumwambia konda kituo anacho shuka atakuja kuamshwa akiwa mlandizi.
Nyie ndio huwa mnajamba hovyo kwenye vyombo vya usafiri
Kuna kipimo inabidi,ufanyiwe.
Hii shida ninayo sana ya usingizi ulioptiliza.
Kila nikipanda gari, daladala hata safari fupi lazima nilale fofofoo. Shida hii imepelekea kupitilizwa vituo sometimes.
Je, hili tatizo dawa yake nini?
Panda bodaboda
Kuna kipimo inabidi,ufanyiwe.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] we Jamaa wewePiga usingizi boss, maisha mafupi, kambi popote, Mimi hata kwenye boda nalala.
Sasa Kutoka kulala juu ya mawe mpaka kwenye Basi haya si maendeleo?
Jiwe afe mara ya pilii.
Hii shida ninayo sana ya usingizi ulioptiliza.
Kila nikipanda gari, daladala hata safari fupi lazima nilale fofofoo. Shida hii imepelekea kupitilizwa vituo sometimes.
Je, hili tatizo dawa yake nini?
Mimi nikiwa kwenye safari ndefu nikisafiri na mabasi makubwa huwa sichukui round....