Kila nikipata fursa ya kufanya mapenzi, naitumia

Engager

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
1,522
Reaction score
3,255
Huwa sioni sababu ya kujivunga. Hayanaga tuzo. Ni kweli. Sasa kama sitofanya ndo napewa hiyo tuzo?

Kama Mungu atanijaalia maisha marefu hapa duniani, nitafikia umri sitoweza kabisa kufanya mapenzi, na hata kama nikifa at young age, ntazikwa nayo na itaozea huko udongoni. Kwanini nijibane kufanya mapenzi nikiwa na uwezo huo?

Nachunga maradhi, ila nikihitaji kula mbususu nafanya. Sioni shida kabasa kama ntajikuta nshatembea na wanawake hata 10million in my life time.
 
Ni umri tu mkuu , kuna umri ukifika inakata tu yenyewe
 
Vipi nao wale wanaodai kufanya hivyo ni dhambi, unasemaje?
 
Ndio maana hata mimi kwenye bandiko langu nimesema. Kunaumri utafika sitaweza kuchakata mbususu. Sasa kabla huo umri haujafika, nautumia vizuri huu wa sasa.
 
Mimi ntahakikisha vipi kama hiyo ni dhambi. Suleimani alikula mbususu ngapi? Lakini pamoja na hayo bado Sir. God alimfagilia na hakuna pahala aliambiwa anatenda dhambi. Hiyo ni nadharia tu.
 
kwahiyo yale yanayosemekana ni mawe yenye amri za mungu ni chai tu
 
Huwa sioni sababu ya kujivunga. Hayanaga tuzo. Ni kweli. Sasa kama sitofanya ndo napewa hiyo tuzo?

Kama Mungu atanijaalia maisha marefu hapa duniani, nitafikia umri sitoweza kabisa kufanya mapenzi, na hata kama nikifa at young age, ntazikwa nayo na itaozea huko udongoni. Kwanini nijibane kufanya mapenzi nikiwa na uwezo huo?

Nachunga maradhi, ila nikihitaji kula mbususu nafanya. Sioni shida kabasa kama ntajikuta nshatembea na wanawake hata 10million in my life time.
Tupo pamoja nawe mpaka utakapo acha.
 
Ndio maana hata mimi kwenye bandiko langu nimesema. Kunaumri utafika sitaweza kuchakata mbususu. Sasa kabla huo umri haujafika, nautumia vizuri huu wa sasa.
Usisahau kutafuta pesa pia kuna umri pia utafika utashindwa kutafuta pesa.
 
Back
Top Bottom