kwenye biblia si wanasema?Ushai yaona hayo mawe?!...
BishaNabisha.
SanaSio kweli. Wanawake wanatofautiana sana.
Aya wewe sema tu kuwa biblia ni waongo halafu wale wafia dini waje wakusikieWaongo..
Labda ukumbwe na magonjwa bila hivyo hata 70+ bado wanakimbizana na watoto wa miaka 25Ni umri tu mkuu , kuna umri ukifika inakata tu yenyewe