SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Anza kuteseka kuanzia sasa. Yaani wewe uwezo wako wa kufikiri umeishia kuiwazia Simba mabaya tu. Huwezi kuondokana na umasikini kwa kuwachukia matajiri.Sioni Mikia wakiingia robo fainali maana mechi zote mbili atapoteza
Sioni Mikia wakiingia robo fainali maana mechi zote mbili atapoteza
Tukisema kuna watu mnahitaji tiba mnataka kutupiga maweHii ndio mechi pekee ambayo simba watagundua kumbe ndani ya pilau kuna kinyesi kiliwekwa chini.....
sherehe yote itaharibika.....
na kwa mwarabu ndio hawatoki kabisaa
Nimepoteza MB zangu kwa kuamini utakuwa umeandika vitu vya msingi ndani[emoji848][emoji848] ila sio mbaya kichwa cha habari umeandika vizuri sanaKwa Mpira ule mkubwa wanaoucheza AS Vita Club ambao hata Waarabu wenyewe na Mabingwa Afrika Al Ahly wamekiri kupata nao Taabu nimeamini kuwa nje ya Kucheza Mpira mwingi lakini hata Bahati nayo ina nafasi Kubwa mno katika Mafanikio (Ushindi) wa Mchezo wa Soka (Kabumbu) duniani.
Hofu yangu Kubwa tu ni kwamba kwa sasa Watanzania bado tupo katika Kipindi cha Maombolezo (Majonzi) ya Kufiwa na Hayati Mpendwa Rais wetu Dkt. Magufuli hivyo huenda Wapenzi wa Soka Tanzania na hasa wa Klabu ya Simba tusipojiandaa Kikamilifu kuwakabili AS Vita Club basi baada ya tarehe 3 April, 2021 tukawa na 'Double Majonzi' ya Kufiwa na Kiongozi na pia Kutotinga Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika.
Naiamini Klabu yangu ya Simba SC tena kwa 100% Ila kwa Mpira mwingi walionao AS Vita Club tukiwafunga au hata tu kutoka nao Sare ya Suluhu (bila bila) au Pacha (ya Magoli) hatimaye tukafuzu rasmi Robo Fainali Klabu Bingwa Afrika nitaomba Serikali ya Tanzania itoe Tamko la kuwa na Public Holiday nchini.
Moyo wangu una Wasiwasi mwingi sana.
Nakazia. Mechi ya Simba vs Al Ahly mpira waliocheza Simba unaweza sema ni timu inayotoka barani ulaya hasa hasa kwenye ligi kuu ya uhispania. Kumbe ni ya hapa hapa Africa tena Africa mashariki. Al Ahly walikuwa kama timu ya amateur wanapiga pasi kama vipofu pasi hazifiki na mpira wanautafuta kwa tochi. Simba wanawachezea wanavyotaka. Nilijua kwaaina ya mpira waliocheza nilitegemea Al Merreikh wangekula chuma sita kule Sudan kumbe ile nguvu inafanya kazi uwanja wa Mkapa tuWale wanalogwa kama walivyologwa waarabu mpaka wakawa wanainama tu uwanjani.......unakumbuka makusu badala ya kutoa pasi akabutua mpira nje full miguu kugongana....
Ramli za Kiganga NjaaSioni Mikia wakiingia robo fainali maana mechi zote mbili atapoteza
Stuka kwenye hiyo nfoto utajinyeaNimeota ndoto mbaya; kipindi cha kwanza Simba 0- 2AS Vita Naomba hii ndoto isiwe ya kweli.
Angalia wasiwasi wako usije athiri maisha yako binafsi,kwani Simba wasiwasi hamna, thalatha bin sufri kwa mkapa,tatu!Kwa Mpira ule mkubwa wanaoucheza AS Vita Club ambao hata Waarabu wenyewe na Mabingwa Afrika Al Ahly wamekiri kupata nao Taabu nimeamini kuwa nje ya Kucheza Mpira mwingi lakini hata Bahati nayo ina nafasi Kubwa mno katika Mafanikio (Ushindi) wa Mchezo wa Soka (Kabumbu) duniani.
Hofu yangu Kubwa tu ni kwamba kwa sasa Watanzania bado tupo katika Kipindi cha Maombolezo (Majonzi) ya Kufiwa na Hayati Mpendwa Rais wetu Dkt. Magufuli hivyo huenda Wapenzi wa Soka Tanzania na hasa wa Klabu ya Simba tusipojiandaa Kikamilifu kuwakabili AS Vita Club basi baada ya tarehe 3 April, 2021 tukawa na 'Double Majonzi' ya Kufiwa na Kiongozi na pia Kutotinga Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika.
Naiamini Klabu yangu ya Simba SC tena kwa 100% Ila kwa Mpira mwingi walionao AS Vita Club tukiwafunga au hata tu kutoka nao Sare ya Suluhu (bila bila) au Pacha (ya Magoli) hatimaye tukafuzu rasmi Robo Fainali Klabu Bingwa Afrika nitaomba Serikali ya Tanzania itoe Tamko la kuwa na Public Holiday nchini.
Moyo wangu una Wasiwasi mwingi sana.
Sawa... tusubiri tuone.Hii mechi sioni simba kama atashinda ata kama ni kwa mkapa sijui kwa magufuli trust me simba anakufa bao tatu bila ubishi
Tukutane hapa baada ya tarehe 3
Mpaka anafungwa na Al Ahly atakuwa ameshafuzu hatua ya robo fainali ya Cacl.Tena atapigwa na al ahaly kama mbwa koko,,tena simba walifanya makosa kuwafunga al ahaly,,ni kama wamechokoza nyuki 😁😁