Kila nikirejea kuangalia Mechi za AS Vita Club dhidi ya Al Ahly kule Misri na Kwao Congo DR napatwa na uwoga kwa Mkapa Jumamosi

Bwana Bwana, Nyie mlishasema Kwamba ""KWA MKAPA HATOKI MTU"" Asa wasi² Wa Nini mkuu All - Rounder
 
Nani asiyejua kuwa wewe ni utopolo damu damu? Inakuuma Sana kuona mafanikio ya simba!!
 
Hii mechi sioni simba kama atashinda ata kama ni kwa mkapa sijui kwa magufuli trust me simba anakufa bao tatu bila ubishi
Tukutane hapa baada ya tarehe 3
Pole!! Mara zote zote hujawahi kusema simba atashinda na Mara zote simba hushinda hapa Mkapa Stadium!! Kama inakuuma hamna jinsi itabidi uzoee tu!!
 
Hii mechi sioni simba kama atashinda ata kama ni kwa mkapa sijui kwa magufuli trust me simba anakufa bao tatu bila ubishi
Tukutane hapa baada ya tarehe 3
Ok Simba hatoshinda inawahusu nini?? Nyie mmeshinda nenda kwenye robo si mnajua mpira na kucheza? Simba akishindwa nyie mnapapungukiwa nn? Mshukuruni kwa kuwa mshakuwa na uhakika wa kucheza klabu bingwa mwakani ndo maana mna nyodo sasa hivi eti!! Uchawi wenu kwa Simba ndio ushindi wa Simba hebu fuatilia ni timu gani pinzani mmeshabikia ikaifunga Simba?? Endelea hivyo Ila msije kimbia huu uzi😃😃😃😃😃
 
Utopolo wana akili mbovu Sana,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vita ndiyo kwanza wanasuka kikosi Chao upya baada ya kile cha kina Ngoma, Jean Makusu Mundele, Tuisila Kisinda, Khazadi Kasengu, Lukong na wengineo hivyo hawana kikosi che uelewano mzuri uwanjani.

Probably next season watakuwa hatari zaidi.

Kumbukumbu zinaonyesha vita kwa muda mrefu sana hawajawahi kuvuka hatua ya makundi kwenye champions League zaidi ya kuishia nafasi ya tatu tu.
 
Acha woga
 
Boss,

Aya ya mwisho iko vizuri ni kweli As Vita hajawahi kwenda hatua za mtoano hivi karibuni. 2017, 2018, 2019, 2020 wameangukia pua.

As Vita hawana kikosi imara siyo? Hao akina Makusu, Ngoma wameisaidia kitu gani kwenye timu??

Na Tuisila ni mchezaji wa kutumainiwa?

NB: SIMBA NI MIONGONI MWA TIMU TISHIO BARANI AFRIKA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…