mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Si nilisema? Mtoa uzi keshatoroks tayari na kutelekeza uzi wake!! Kina All-Rounder, Senzo, na utopolo et Al huwezi kuwaona tena jukwaani!! Kina Generalist hata ukiwaitia pesa hawawezi kusogea hapa, si kwa aibu hiyo!!Kama kawaida yake kila baada ya mechi ya simba huyu utopolo eti all rounder huwa anazikimbia nyuzi zake maana si kwa aibu zile!!
Hata jumamosi hii hutamwona All Rounder baada ya mechi!!
Vipi mkuu bado uko na msimamo wako ule ule..Gem za kimashindano ndio zinaanza sasa achana na zile mechi za utangulizi
Ha ha ha haEndelea kuwa wasiwasi ni jambo jema, tena usiishie kuwa na wasiwasi tu bali ongeza hofu na mashaka, ila tambua kwa mkapa hatoki mtu.
Asante mkuu kwa kua mzalendo sio wana yanga wabishi wasio kubali ukweliAs vita hii ya shishimbi hakuna timu pale, ilifungwa na al ahly 3-0 kwake kinshasa kama imesimama..
Simba pia kamfunga pale pale Kinshasa...
Mimi mwanayanga...ila simba na vita kwa mkapa.. matokeo nayajua kabisa... vita hawezi pata point 3 kwa mkapa hata iweje
Dah Senzo kaamishia gundu kwetu[emoji16][emoji16]Asante mkuu kwa kua mzalendo sio wana yanga wabishi wasio kubali ukweli
Umesha andikanombi lako la public holiday ?Kwa Mpira ule mkubwa wanaoucheza AS Vita Club ambao hata Waarabu wenyewe na Mabingwa Afrika Al Ahly wamekiri kupata nao Taabu nimeamini kuwa nje ya Kucheza Mpira mwingi lakini hata Bahati nayo ina nafasi Kubwa mno katika Mafanikio (Ushindi) wa Mchezo wa Soka (Kabumbu) duniani.
Hofu yangu Kubwa tu ni kwamba kwa sasa Watanzania bado tupo katika Kipindi cha Maombolezo (Majonzi) ya Kufiwa na Hayati Mpendwa Rais wetu Dkt. Magufuli hivyo huenda Wapenzi wa Soka Tanzania na hasa wa Klabu ya Simba tusipojiandaa Kikamilifu kuwakabili AS Vita Club basi baada ya tarehe 3 April, 2021 tukawa na 'Double Majonzi' ya Kufiwa na Kiongozi na pia Kutotinga Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika.
Naiamini Klabu yangu ya Simba SC tena kwa 100% Ila kwa Mpira mwingi walionao AS Vita Club tukiwafunga au hata tu kutoka nao Sare ya Suluhu (bila bila) au Pacha (ya Magoli) hatimaye tukafuzu rasmi Robo Fainali Klabu Bingwa Afrika nitaomba Serikali ya Tanzania itoe Tamko la kuwa na Public Holiday nchini.
Moyo wangu una Wasiwasi mwingi sana.
Mdau ulichungulia mechi ktk birauri lako la uganga nn maana kama sio yule mwana hizaya Mugalu bac Ibenge ange pata AIBU DsmSimba haitabiriki tukubali tu wenzetu wako Bora Sana unaweza shangaa vitaa anakula. Tano tukaanza kuona aibu bure Bora uwe mpole
Hivi huchoki?Chuki hudhuru moyo.Heri ujinga wa kuuza kuliko ubaradhuli wa kununua. Haisaidii kupinga mafanikio kwa kulalamika Dawa ni kuiga mafanikio na kuongeza juhudi.Sioni Mikia wakiingia robo fainali maana mechi zote mbili atapoteza
Maombolezo ya nani vile? Kama ni yule yesu wa kangi imekula kwako.Tumeshamsahau na tunaendelea na yetu.Kwanza katuchelewesha saaana! SSC nguvu moja.Kwa Mpira ule mkubwa wanaoucheza AS Vita Club ambao hata Waarabu wenyewe na Mabingwa Afrika Al Ahly wamekiri kupata nao Taabu nimeamini kuwa nje ya Kucheza Mpira mwingi lakini hata Bahati nayo ina nafasi Kubwa mno katika Mafanikio (Ushindi) wa Mchezo wa Soka (Kabumbu) duniani.
Hofu yangu Kubwa tu ni kwamba kwa sasa Watanzania bado tupo katika Kipindi cha Maombolezo (Majonzi) ya Kufiwa na Hayati Mpendwa Rais wetu Dkt. Magufuli hivyo huenda Wapenzi wa Soka Tanzania na hasa wa Klabu ya Simba tusipojiandaa Kikamilifu kuwakabili AS Vita Club basi baada ya tarehe 3 April, 2021 tukawa na 'Double Majonzi' ya Kufiwa na Kiongozi na pia Kutotinga Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika.
Naiamini Klabu yangu ya Simba SC tena kwa 100% Ila kwa Mpira mwingi walionao AS Vita Club tukiwafunga au hata tu kutoka nao Sare ya Suluhu (bila bila) au Pacha (ya Magoli) hatimaye tukafuzu rasmi Robo Fainali Klabu Bingwa Afrika nitaomba Serikali ya Tanzania itoe Tamko la kuwa na Public Holiday nchini.
Moyo wangu una Wasiwasi mwingi sana.
Leo ni trh 4 chiefHii mechi sioni simba kama atashinda ata kama ni kwa mkapa sijui kwa magufuli trust me simba anakufa bao tatu bila ubishi
Tukutane hapa baada ya tarehe 3
Umesoma bila kuelewa kumbuka 2017 -2018 Vita club walikuwa finalist wa kombe la shirikisho wakafungwa na Rajer Casablanca.Boss,
Aya ya mwisho iko vizuri ni kweli As Vita hajawahi kwenda hatua za mtoano hivi karibuni. 2017, 2018, 2019, 2020 wameangukia pua.
As Vita hawana kikosi imara siyo? Hao akina Makusu, Ngoma wameisaidia kitu gani kwenye timu??
Na Tuisila ni mchezaji wa kutumainiwa?
NB: SIMBA NI MIONGONI MWA TIMU TISHIO BARANI AFRIKA.
Umesoma bila kuelewa kumbuka 2017 -2018 Vita club walikuwa finalist wa kombe la shirikisho wakafungwa na Rajer Casablanca.
Msimu uliofuata wa 2018 -2019 walikuwa na kikosi bora sana japo walishindwa kuingia hatua ya mtoano kwa kutolewa na Simba hapa Dar.
Msimu uliofuata waliondokewa na wachezaji wao wengi muhimu akiwemo Mshambuliaji wai Mundele Makusu na nahodha wao Fabrice Muamba Ngoma na wengineo akiwemo Kisinda aliyeporomoka kiwango na kutolewa kwa mkopo kwenye vilabu vingine.
Kikosi walichonacho sasa ukiondoa Djuma Shaban, Emanuel Luzolo Sita, Jaques Mangoba ni kikosi ambacho ni ingizo jipya hata golikipa wao Omosola hakuwa regular starter kikosini.
Hata uchezaji wao hawana uelewano kama msimu wa 2018-2019.
Ni ngumu kuelewa mambo ya mpira kama unafuatilia matokeo tu.
Kuna sehemu umeona nimesema Simba hawezi kushinda against hizo teams ?Ila mkuu naona kama "ambao hatuna uelewa wa mpira" na "tunaofuatilia matokeo tu" kama vile kila wakati huwa tunakuwa sahihi kuhusu Simba kushinda licha ya vigezo vyote kuwa vinatuelemea.
Ilianza sijui Pyramids wana fowards yenye magoli 120 ndani ya nusu msimu.... Tukaamini tutashinda wenye uelewa wa mpira na takwimu mkawa chali...
Wakaja Platnums walivyotufunga kule kwao mkatuambia yale ya UD Songo yanatukabili.... Mnajua wenyewe sisi tusio na uelewa wa Mpira tulienda uwanjani kwa nguvu zote.
Makundi yalivyopangwa basi mnaojua mpira mkatuambia kuwa rekodi zinaonesha kuwa Simba atakuwa wa mwisho kwenye kundi na atapigwa bao nyingi...
Tusiojua mpira tuliamini Simba atashinda na Tukampiga Vita kwake.... Tulipompiga Al Ahly mnaojua mpira mkasema tumechokoza nyuki tutaumia...
Al Merrikh tulipotoa sare wenye uelewa wa Mpira mkasema wachezaji wao 5 walikuwa na COVID-19 ndio maana na mechi ya marudiano Simba atapigwa nyumbani... Hata hivyo Al Merrikh alikula 3 na mkasema Simba alifanya fitna wachezaji wao 8 wakazuiwa kwa kukutwa na COVID-19.
Sasa kazi ikaja kwenye mechi ya As Vita wenye uelewa wa mpira kama wewe hapo, All-rounder na CARFONIA mkaja na takwimu za As Vita alivyompelekesha Al Ahly huko kwa Farao mkidai kuwa Simba atakufa kipindi cha kwanza tu mapema tena sio chini ya goli 3. Tusio na uelewa wa mpira tukawa na imani Vita anakufa kwa Mkapa tena kwa goli nyingi.... Mnaojua mpira nadhani sasa mnajua kama sio "HILA" za Mugalu basi Ibenge ingebidi aombe uraia wa Tanzania maana angeenda kunyongwa kwa aibu ambayo ingetokea.
Kwa kifupi tu ni kuwa nyie wenye "UELEWA" wa Mpira kila mara linapokuja suala la Simba mmekuwa mkipoteza tu kila wakati.... Au mtuambie labda uelewa wenu wa mpira ni wa FIFA PES games.
Mtani mlichukua kwa mbwembwe kibao pambanane na hali yenu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dah Senzo kaamishia gundu kwetu[emoji16][emoji16]
Mie nimeongelea tu tofauti kati ya wenye uelewa wa mpira na wanaofuatilia matokeo tu...Kuna sehemu umeona nimesema Simba hawezi kushinda against hizo teams ?
Madam where are youSioni Mikia wakiingia robo fainali maana mechi zote mbili atapoteza