Kila nikishusha Bei dhidi ya washindani wangu nao hushusha Zaidi yangu, nifanye nini kuongeza mauzo?

Kuweni na chama mkuu Yani kaumoja fulani hivi mnaganya ushindani mkuu sio bifu Wala uadui.. huwez kushusha shusha tu bila kujal maslahi.. aidha umewek biashara eneo lenye wat wasiokuw n targets wanafanya fanya tu
 
Ongeza customer base..usitegemee wateja haohao sikuzote..Tumia mitandao kujitangaza zaidi..Ongeza huduma za ziada.(fanya deliveries,walipaji wazuri unaweza kuwapa kwa mikopo,)lugha nzuri, mwonekano wa bashasha huvutia watu, mazingira mazuri ya ofisi,branding....

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Mkuu ktk haya ulioyazungumza moja tu ndo sijalifanya nahaliwezi kufanyika kulingana eneo nilipo wateja wengi niwateja wasio jua Facebook,insta,..mkopi siwezi rudia nshapigwa Sana nawateja mteja hujifanya mwanzoni niroyal customer mtaendaaa mwishoe anakuzima pesa yako mnaanza sumbuana Mara polisi mahakamani
 
Kuweni na chama mkuu Yani kaumoja fulani hivi mnaganya ushindani mkuu sio bifu Wala uadui.. huwez kushusha shusha tu bila kujal maslahi.. aidha umewek biashara eneo lenye wat wasiokuw n targets wanafanya fanya tu
Mkuu hujakosea washindani wangu mtazamo wao hawajali maslahi wao wanajali kuwa nawateja wengi naswala la kuwa nachama walishagoma wanakwambia biashara yake hauwezi kumpangia ukomo wabei atauza anavojua...hawana Target kabisa wao hufanya biashara kuonekana kwenye sura ya nje kuwa niwanamauzo makubwa nawateja pia wanao ili jina lao likua Zaid nazaid kwa watu
 
Tatizo lako unauza bidhaa' badala ya kuuza thamani

Mteja anapokuja kununua soda hasemi nataka soda Bali atasema naomba pepsi au naomba Fanta au Coca-Cola...Kwa nn unadhani? Sababu wafanya biashara wenye akili wanaouza thamani maana bidhaa' ni ileile soda

Ambacho naweza kukushauri ni kwamba ongeza thamani bidhaa zako ili wateja wamiminike kwako vinginevyo utaendlea kumshusha bei ya bidhaa' badala ya kuongea thamani ya unachouza kisha wateja watamiminika wenyewe bila hata wewe kushusha bei
 
Thamani Kama ipi labda mkuu
 
Fanya mpango uhame hapo au ufungue duka la pili dogo sehemu nyingine. Inabidi utafute fremu maeneo yenye watu wengi sana. Au eneo jipya lenye watu. Inabidi ufanye utafiti wa kina, dalili ya watu mara nyingi ni wingi wa bodaboda katika eneofulani ukiona sehemu bodaboda ni wengi ujue watu wapo . Huu ni mtazamo tu na sio sahihi kwa 100%. Ila anza kufanya utafiti wa wapi pa kuhamia. Pia utafiti wa nani utamueka duka utakalo hamia. Cha msingi fanya utafiti wa kina.
 
Kwa lugha nyingine ibrand biashara yako badala ya kuendelea kupunguza bidhaa

Ktk biashara unachopaswa kufanya ni kucheza na saikolojia ya mteja Tu..

mfano wewe na mshindani wako wote mnauz mchele wa kyela kilo ni TSH 1500/=,mwenzio akapunguza bei akauza 1200/= wewe badala ya kuuza elfu Mia mbili km yeye badala yake pima kilo yako weka kwenye package mzuri kuliko mfuko(kifaa) aliikuja nao.custimer care pia ni kipengere muhimu sn..hapo utamfanya mteja ajiskie vizuri sn
 
Hapo njia nikutafuta supplier mwenye bei ya chini ili uweze kushindana yani ligi za biashara zimepoteza wengi hususani wenye mitaji midogo na mkopo ya benk
Mkuu supplier wote tunanunua kiwandani..hili mtaji mdogo mkuu Wala hujakosea ukiwa namtaji mdogo kunabiashara huwezi survive ktk soko
 
Fanya mpango uhame hapo au ufungue duka la pili dogo sehemu nyingine. Inabidi utafute fremu maeneo yenye watu wengi sana. Au eneo jipya lenye watu. Inabidi ufanye utafiti wa kina, dalili ya watu mara nyingi ni wingi wa bodaboda katika eneofulani ukiona sehemu bodaboda ni wengi ujue watu wapo . Huu ni mtazamo tu na sio sahihi kwa 100%. Ila anza kufanya utafiti wa wapi pa kuhamia. Pia utafiti wa nani utamueka duka utakalo hamia. Cha msingi fanya utafiti wa kina.
Kuanzisha duka dogo sishida shida ipo ktkt usimamizi mkuu usimamizi waduka dogo la reja reja nimgum mno maana unamchanganyiko wavitu vingiii nahauweizi piga hesabu kila siku ziadi yalika mwezi utalazimika kufanya stock taking ili kupunguza wigo wakupigwa Zaid..maaana kwauzoefu wangu duka dogo Mara Nyingi anaenufaika nimuuzaji nasimmiliki
 
Kwakweli hawa wanao sema boresha bidhaa wamemezeshwa maneno ya motivation speakers.

Kwakwel hapo bwana mkubwa ushauri wangu kama suply mmekua wengi kuliko demand naona bora utafute biadhara nyingine ambayo itakuinua.
Hao hawajawahi fanya biashara hao wamekariri yakwenye makaratasi sjui boresha bidhaa Sasa bidhaa Kama Sukari ishapakiwa kiwandani kwapackage yakilo wemuuzaji unaiboreshaje hapo..
 
Kuanzisha duka dogo sishida shida ipo ktkt usimamizi mkuu usimamizi waduka dogo la reja reja nimgum mno maana unamchanganyiko wavitu vingiii nahauweizi piga hesabu kila siku ziadi yalika mwezi utalazimika kufanya stock taking ili kupunguza wigo wakupigwa Zaid..maaana kwauzoefu wangu duka dogo Mara Nyingi anaenufaika nimuuzaji nasimmiliki
Duh! Ishu yako iko complex balaa ngoja wengine waje ila kuwa makini na motivesheni spika wasije kukupoteza. Labda uanzishe biashara au kuuza bidhaa nyingine ambayo mshindani wako hana na inahitajika maeneo hayo. Labda uwaulize hao wateja wanaokuja kama kunakitu inawalazimu wafate mbali ili kukipata inabidi wewe uwe nacho. Ila jua huyo unayeshindana nae ni mtu mwenyehela nyingi sana au mtaji mkubwa ndio maana anashusha tu bei. Au marejesho yanamsumbua. Nahisi unabidi uhame hapo au ufungue duka sehemu nyingine yenye watu au ulete bidhaa inayohitajika ila wao hawana (ila nawaza kama mshindani na yeye akiileta hiyo bidhaa? Si yatakuwa yaleyale?). Duh! Ngoja wengine waje kuchangia.
 
Kwakweli hawa wanao sema boresha bidhaa wamemezeshwa maneno ya motivation speakers.

Kwakwel hapo bwana mkubwa ushauri wangu kama suply mmekua wengi kuliko demand naona bora utafute biadhara nyingine ambayo itakuinua.
Kwenye kutafuta bidhaa nyingine ndio mtihani maana almost in my area of businesss kila bidhaa nayoifikiria sokoni ipo kwa washindani wangu au wasio kuwa washindani wangu kwamaana yakwamba kila nachofikiria kukiuza kipya najikuta tayar wapo wauzaji wengine wanauza hiyo bidhaa Tena sio mmoja nawapo kwa mda ktk game..nafikiria labda kutoa package ya ofer kwa wateja watakao kua wananunua bidhaa flani inayoniachia faida nzur labda ya bidhaa inaniachia faida ya 5000 mteja akinunua hiyo bidhaa Basi ntampatia nasoda takeaway au maji 1.5mls atachagua mwenyewe kipi anataka sahapa sjui ntakua sawa
 
Duh! Ishu yako iko complex balaa ngoja wengine waje ila kuwa makini na motivesheni spika wasije kukupoteza. Labda uanzishe biashara au kuuza bidhaa nyingine ambayo mshindani wako hana na inahitajika maeneo hayo. Labda uwaulize hao wateja wanaokuja kama kunakitu inawalazimu wafate mbali ili kukipata inabidi wewe uwe nacho. Ila jua huyo unayeshindana nae ni mtu mwenyehela nyingi sana au mtaji mkubwa ndio maana anashusha tu bei. Au marejesho yanamsumbua. Nahisi unabidi uhame hapo au ufungue duka sehemu nyingine yenye watu au ulete bidhaa inayohitajika ila wao hawana (ila nawaza kama mshindani na yeye akiileta hiyo bidhaa? Si yatakuwa yaleyale?). Duh! Ngoja wengine waje kuchangia.
Umeongea vizur mno yaan nshawahi leta Mali mpya ambayo washindani hawana wakawa wananichora navopiga hela mbaya Zaid nimali ambayo kiwanda kipo hapa hapa nchini ndo kili kua kimeanzisha bidhaa mpya mim nkatafuta machinga akawa anaifanyia promosheni Mali ikakubalika kulingana ilikua ipo ndani yakipato chawateja wanaimudu Bei vizur tu wateja Mali wakaipokea nkauza nkauza daaa kumbe washindani wangu faster nao hao kiwandani kununua mzigo wakaleta kuja najikuta mali inaenda taratibu faida inapungua wao Bei walivoleta wakashusha kidgo maana pia wananizid kimtaji...mkuu umeona changamoto hizo
 
Nawaza labda kuuza bidhaa amabayo nchini haizalishwi au niagize bidhaa nje ya nchi ua nianze biashara yakuimport ktk bidhaa yoyote ile
 
Umeongea vizur mno yaan nshawahi leta Mali mpya ambayo washindani hawana wakawa wananichora navopiga hela mbaya Zaid nimali ambayo kiwanda kipo hapa hapa nchini ndo kili kua kimeanzisha bidhaa mpya mim nkatafuta machinga akawa anaifanyia promosheni Mali ikakubalika kulingana ilikua ipo ndani yakipato chawateja wanaimudu Bei vizur tu wateja Mali wakaipokea nkauza nkauza daaa kumbe washindani wangu faster nao hao kiwandani kununua mzigo wakaleta kuja najikuta mali inaenda taratibu faida inapungua wao Bei walivoleta wakashusha kidgo maana pia wananizid kimtaji...mkuu umeona changamoto hizo
Yaani mkuu mimi nimefanyafanya biashara kwa hiyo naelewaelewa hayo masuala ila sio kiviiileeee. Ila hapo kiufupi wao wanakuchungulia wewe unachofanya kwa hiyo wao wanaigiza. Mimi hapo kwa uzoefu wangu mdogo mno yaani kufanya upelelezi na utafiti wa mahali pa kuhamia. Au ukakabie wenzako kwa juu. Yaani unafanya utafiti wa kina kujua mahali wateja wengi wanapotoka. Halafu unaweka duka hukohuko wanakotoka. Ila bado unabakiza duka la hapo ulipo........nawaza tu! Ila hapo mimi nadhani uhame tu hapo.......au bado unaamini unazo nguvu na mbinu za kupambana nao?
 
Back
Top Bottom