FORBIDDEN HISTORY
JF-Expert Member
- Jul 28, 2024
- 202
- 521
Sio kwamba najichukia binafsi ila naichukia hii jamii ya kuitwa afrikana.
Ni ngumu kukaa katika jamii ambayo utimamu ni adui, utimamu ni kihere here.
Afrika aliesoma zaidi yako ni amesoma ili akuminye wewe usio na uwezo wa kisomo chake maana hauwezi kukaa katika kiti cha ku-control vile uishi.
Ni ngumu sana kuwa proud na jamii yenye ubinafsi wa hali ya juu kupelekea watu kufanyiana maafa kwa ajili ya ukuu, watu kufanyiana matendo ya ajabu kisa umepiga maendeleo kidogo.
Ni ngumu sana kukaa katika jamii iliotengana na kutapeliana kwa sababu ya majina ya allah na Mungu walioletewa na watu waliowafanya watumwa. Leo tunasali zaidi ya kuzalisha viwanda ila bado imetupiga ila hatokosi wa kumlalamikia lazima tunasingizia umasikini wazungu.
Leo hii mtu anaandika kuhusu muhamad utafikiri alikuwa anamjua personally na anamtetea kwa hasira, ila mwambie aandike plan ya maendeleo na kujikwamua anabaki anashangaa.