ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Kwenye miti...Ebu wacha maskhara shekh...🙊View attachment 3601712
Kwenye miti...Ebu wacha maskhara shekh...🙊View attachment 3601712
Middle east nako ni Afrika? Hili andiko limejaa uongokwa sababu ya majina ya allah na Mungu
Maendeleo ya kiuchumi hayana dini, kutoboa kimaisha ni mchakato, sisi watu tunaopenda starehe kuliko kazi vipi tutatoboa? Ndiyo maana wasanii wanatengeneza mkwanja mrefu kuliko hata walimu, wanasiasa wanatengeneza sheria za kujinufaisha zaidi wao kuliko watu wao waliyowachagua. Tunapenda njia za mkato za maendeleo vijana tunajazana kwenye mashine za kubeti halafu tunalalamika hakuna ajira. Angalia wale ndugu zetu wa Afrika Kusini wamefikia kuwafukuza waafrika wenzao eti wanawachukulia ajira, wakati wao ni wameshughulika na Amapiano. Elimu ni kufuta ujinga tu siyo ni tiketi ya ajira, ziko shughuli nyingi tu mtu unaweza kujishughulisha mwenyewe na ukatoboa. Wakina Dangote wanafanya vizuri tu.Sio kwamba najichukia binafsi ila naichukia hii jamii ya kuitwa afrikana.
Ni ngumu kukaa katika jamii ambayo utimamu ni adui, utimamu ni kihere here.
Afrika aliesoma zaidi yako ni amesoma ili akuminye wewe usio na uwezo wa kisomo chake maana hauwezi kukaa katika kiti cha ku-control vile uishi.
Ni ngumu sana kuwa proud na jamii yenye ubinafsi wa hali ya juu kupelekea watu kufanyiana maafa kwa ajili ya ukuu, watu kufanyiana matendo ya ajabu kisa umepiga maendeleo kidogo.
Ni ngumu sana kukaa katika jamii iliotengana na kutapeliana kwa sababu ya majina ya allah na Mungu walioletewa na watu waliowafanya watumwa. Leo tunasali zaidi ya kuzalisha viwanda ila bado imetupiga ila hatokosi wa kumlalamikia lazima tunasingizia umasikini wazungu.
Leo hii mtu anaandika kuhusu muhamad utafikiri alikuwa anamjua personally na anamtetea kwa hasira, ila mwambie aandike plan ya maendeleo na kujikwamua anabaki anashangaa.
Shida ya binadamu bwana wanapenda kujifananisha hata hawafikirii kuwa hawawezi kuongeza hata urefu wa sikioHata wazungu wajinga na maskini wapo kibao , wewe unajivunia nini binafsi?
Wenzetu wameendelea sana na hata mchango wa mtu mmoja mmoja unahusika kwenye maendeleo yao , mtoa mada yeye mchango wake ni upi?Shida ya binadamu bwana wanapenda kujifananisha hata hawafikirii kuwa hawawezi kuongeza hata urefu wa sikio
Wengi hawanaga mapanga.....😜Kwenye miti...
😀Wengi hawanaga mapanga.....😜