FORBIDDEN HISTORY
JF-Expert Member
- Jul 28, 2024
- 202
- 521
Sijaongea chochote kuhusu wazungu.Hata wazungu wajinga na maskini wapo kibao , wewe unajivunia nini binafsi?
Afrika hususani Tanzania ni moja ya sehemu ambazo hata ukiwa mpumbavu au mjinga kupindukia unaweza uka survive unlike maeneo mengine ambayo usipokuwa smart suala la kupoteza uhai ni just a blink of an eye.Sio kwamba najichukia binafsi ila naichukia hii jamii ya kuitwa afrikana.
Ni ngumu kukaa katika jamii ambayo utimamu ni adui, utimamu ni kihere here.
Afrika aliesoma zaidi yako ni amesoma ili akuminye wewe usio na uwezo wa kisomo chake maana hauwezi kukaa katika kiti cha ku-control vile uishi.
Ni ngumu sana kuwa proud na jamii yenye ubinafsi wa hali ya juu kupelekea watu kufanyiana maafa kwa ajili ya ukuu, watu kufanyiana matendo ya ajabu kisa umepiga maendeleo kidogo.
Ni ngumu sana kukaa katika jamii iliotengana na kutapeliana kwa sababu ya majina ya allah na Mungu walioletewa na watu waliowafanya watumwa. Leo tunasali zaidi ya kuzalisha viwanda, alafu tunasingizia umasikini wazungu.
Leo hii mtu anaandika kuhusu muhamad utafikiri alikuwa anamjua personally na anamtetea kwa hasira, ila mwambie aandike plan ya maendeleo na kujikwamua anabaki anashangaa.
Product ya mtume moodEbu wacha maskhara shekh...๐View attachment 3601712
MaashAllah!Ebu wacha maskhara shekh...๐View attachment 3601712
Wewe umeifanyia kitu gani africa?Sijaongea chochote kuhusu wazungu.
Nafikiri sasa umepata point yangu ya tabu ya "afrikana"
Ndipo uwezo wao wa fikra na exposure ulipo ishiaWenzio wanajivunia et wanangozi ngumu inayovumilia jua kali ๐ฅด๐ฅด
InashangazaWewe umeifanyia kitu gani africa?
JAMBO LIPO ZITOEbu wacha maskhara shekh...๐View attachment 3601712
MnoInashangaza