Kila nikitizama Kikosi cha Congo DR kikiwa Kambini namuona Inonga tu, kuna aliyemwona Zengeli anitumie Picha yake?

Huyu antibiotic fake na mwenzie eti Kinjekitile fake wote wajinga wajinga tuu.Hawana lolote
Kamuulizeni kwanza yule janjajanja billioni 20 ziko wapi ????
 
Zero brain mnachukuaje majina ya maana ???
Kama ningekuwa mzazi nimewapa majina hayo ningeshawalaani tayari
 

 
Mkuu koloz kilichobaki ni maneno mpira hamna,ligi ilivyosimama hivi ndio wakati wao wa kuongea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…