Kila nikitongoza mademu hawaniamini.

sina uhakika kwa hayo unayosema,maana yalikuwa mambo ya kizamani sana sikuhizi msichana hamkatai mtu bw hatakama ni mlemavu,ninacho hisi hapa ni kwamba wewe unajisifia wewe ni mzuri!

HUHHH??Wasichana gani hao wasiokataa mtu?Labda unaishi kwenye danguro wewe!
 
I Like it!!!
 
We mr handsome nini? Maana wengi wenu hamjatulia!!
 
duh! inaonokena wewe una presha nao knoma bila kujua mambo haya yanaenda taratibu, kuna uewezekano ushagonganisha na watu wakajuana, so ka notion nikalekale cku zote, chek out process yako kaka utapata jibu, cku hzi demu kupata ni easy wewe tu.
 
Udhalilishaji mwingine huu hapa
 
Saikolijia ni muhimu sana. Kwani inategemea sana mazingira na mambo mengine kadhaa wa kadhaa.
 
Inabidi ujaribu kuweka mazoea naye kwanza, huku ukijitahidi kuonyesha uaminifu kwake. Mfano unaweza kumuomba ushauri wa hapa na pale ukizugia tu, ila inategemea na huyo dada pia!
 
Weka script ya tongozo zako hapa nizipitie ili kujua tatizo liko wapi.
Ahahahaaa hivi kuna kuandaa mistari kabla ya kunyuka tongozo? I dont remember the last time nilinyuka tongozo japo kila siku sikukuu.
 
thank you...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…