Kila nikiwatathmini wanaochukua fomu za kugombea ubunge,Najifunza hili jambo

Kila nikiwatathmini wanaochukua fomu za kugombea ubunge,Najifunza hili jambo

mcTobby

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
7,894
Reaction score
22,679
Wadau,salamu wote.

Ipo hivi kila nikifuatilia aina ya watu wanaochukua hizi fomu ,sio kwamba wana interest sana na kutatua matatizo ya watu na kuleta maendeleo. NEVER.

Wengi wa hawa watia nia wanatafuta kitu kinaitwa "political muscle" au nguvu ya kisiasa kwa ajili ya
  1. Kuziwekea ulinzi biashara zao zisibughudhiwe na wakina Zakayo watoza ushuru
  2. Kujisogeza karibu na tenda za serikali zinazotolewa ili kufaidi yale ma ten pasenti au kujinufaisha kwa njia za mkato.
  3. Kujenga connection za nguvu na wazito wa serikalini ili kujiimarisha kisiasa kwa ajili ya kupata vyeo vya juu n.k.
  4. Wawe miongoni mwa lile kundi la 1% wanaokula keki ya taifa vizuuuri.
  5. Ongezea.....
Wewe fanya tathmini yako utagundua tu aina ya watu wanaotaka mamlaka na vyeo kama kweli wako passionate katika ku deliver kwa wananchi. Wasomi wa hii nchi mtawalaumu tu bure kwamba kwanini hawachukui fomu. Hawachukui kwa sababu the odds of politics in Tza are against them. Sasa kama nchi hii wasomi wanabagazwa na kudhalilishwa na majority of idiots unategemea nini?
Tufanyaje sasa?

The best thing you can do is ..........nothing at all.
Ni kujiselfie na maisha yanaendelea.
20250308_082321.jpg
 
Na wewe chukua fomu ufanye hayo kama ni rahisi badala ya kuleta malalamiko yasiyo na msingi
 
Wengi wanataka kuwepo kwenye ile 1% ya wale wanao meza keki ya taifa
 
Hatukatai uongozi ni fursa tu kama fursa nyingine ila tunaomba wakiingia kwenye vyombo vya kuunda sera basi ziwe zinazingatia maslahi mapana ya nchi na kuwa rafiki kutukomboa vijana kwa kufungua fursa nyingi za ajira na mazingira wezeshi yasio kandamizi ya vijana tunaojitatuta tuweze kujiajiri.
 
Mtu kama baba levo, surely?
 
Back
Top Bottom