fomu za kugombea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Kila nikiwatathmini wanaochukua fomu za kugombea ubunge,Najifunza hili jambo

    Wadau,salamu wote. Ipo hivi kila nikifuatilia aina ya watu wanaochukua hizi fomu ,sio kwamba wana interest sana na kutatua matatizo ya watu na kuleta maendeleo. NEVER. Wengi wa hawa watia nia wanatafuta kitu kinaitwa "political muscle" au nguvu ya kisiasa kwa ajili ya Kuziwekea ulinzi...
  2. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHAUMMA yafungua dirisha la kuchukua fomu za kugombea ubunge na udiwani

    Wakuu kwa wale mliokuw amnasubiri kwa hamu kujitosa kwenye ubunge na udiwani kupitia CHAUMMA ni wakati wenu sasa. Fomu zitaanza kutolewa kuanzia Julai 1, 2025 katika ofisi mbalimbali za chama kuanzia saa 2:30 asubuhi.
  3. Mike Moe

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa uchukuaji fomu za kugombea ubunge

    Habari zenu wanajamii naomba kufahamishwa utaratibu wa uchukuaji wafomu za kugombea ubunge katika nchi yetu hii ya Tanzania
  4. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 UVCCM Tanga yawataka Vijana kujitokeza kuchukua Fomu za Kugombea Ubunge na Udiwani kuanzia Juni 28

    Jumuiya ya umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) wilaya ya Tanga imewataka Vijana kujitokeza kwa wingi kuchukua fomu za Uchaguzi kwa lengo la kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika na za Udiwani na ubunge, ambapo fomu hizo zitaanza kutolewa kuanzia June 28 hadi July 2, 2025 katika...
  5. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM yatangaza kuanza kwa mchakato wa uteuzi wa Wagombea wa Uchaguzi Mkuu 2025

    TANGAZO KWA UMMA Chama Cha Mapinduzi kinawatangazia Wanachama wake kwamba, mchakato wa ndani ya Chama wa uteuzi wa wagombea nafasi za Ubunge, Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi na Udiwani, kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025, utazanza rasmi tarehe 1 Mei, 2025 kwa zoezi la uchukuaji na...
  6. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nawashauri Viongozi na Watu hawa wafuatao wakachukue fomu za kugombea Ubunge

    Ndugu zangu Watanzania, Baada ya kufunguliwa Kwa pazia na kupulizwa kwa Filimbi ya kuchukua Fomu za Kuomba kuteuliwa nafasi za kugombea Udiwani na ubunge ndani ya CCM. Nilikuwa nashauri na kuwashauri viongozi na watu hawa wafuatao wachukue ,kujaza na kurejesha Fomu za Kuomba ridhaa ya...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Njombe: Rais Samia achangiwa zaidi ya milioni 2 za kuchukua fomu za kugombea urais

    Ikiwa ni wiki moja imepita tangu chama cha mapinduzi CCM kimpitishe Rais Samia kuwa mgombea pekee wa Urais kwa tiketi ya chama hicho na Dr Emmanuel Nchimbi kuwa mgombea Mwenza kwa nafasi ya Makamu Rais katika uchaguzi mkuu wa 2025. Maelfu ya wafuasi wa chama cha mapinduzi pamoja na Makundi...
  8. milele amina

    JamiiForums Tanzania Mrithi wa Kinana kujulikana Januari 19 Dodoma, Fomu za kugombea na kuomba nafasi hiyo zinapatikana wapi?

    Ninaomba,msaada wenu! Mimi ni mwanachama wa CCM tangu mwaka 1977. Ninahitaji kupata fomu kugombea nafasi ya Kinana! Fomu zinapatikana wapi!
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Waziri Mchengerwa atangaza tarehe ya kuchukua na kurudisha Fomu za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, siku zaongezwa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa, ametangaza rasmi tarehe ya kuchukua na kurejesha fomu za kugombea kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kuwa ni kuanzia tarehe 26 Oktoba hadi Novemba 1, 2024. Mchengerwa amewasihi wananchi wote wenye sifa za kugombea, kama...
Back
Top Bottom