Mpigie Harmorapa tayari kachukuaHabari zenu wanajamii naomba kufahamishwa utaratibu wa uchukuaji wafomu za kugombea ubunge katika nchi yetu hii ya Tanzania
Inavutia Sana . At least tumepata channel ya kutazama bila kununua flat TV na kisimbuzi😁Inasikitisha sana
Nadhani ni laki tano 😎Hivi kuna kiasi cha pesa cha kulipia ili kupata fomu
Wewe ni mwana CCM? Kama ni ndio hofu yako ya ni I?Habari zenu wanajamii naomba kufahamishwa utaratibu wa uchukuaji wafomu za kugombea ubunge katika nchi yetu hii ya Tanzania
Sasa hivi watia nia wanachukua fomu kwenye vyama vyao. Swali jengine?Habari zenu wanajamii naomba kufahamishwa utaratibu wa uchukuaji wafomu za kugombea ubunge katika nchi yetu hii ya Tanzania