Kumshauri mtu achukue fomu ya ubunge ni kumdharauNa wewe chukua fomu ufanye hayo kama ni rahisi badala ya kuleta malalamiko yasiyo na msingi
mambo!Naunga mkono hoja
Mtu kama baba levo, surely?Hatukatai uongozi ni fursa tu kama fursa nyingine ila tunaomba wakiingia kwenye vyombo vya kuunda sera basi ziwe zinazingatia maslahi mapana ya nchi na kuwa rafiki kutukomboa vijana kwa kufungua fursa nyingi za ajira na mazingira wezeshi yasio kandamizi ya vijana tunaojitatuta tuweze kujiajiri.