Kila nikiwaza Kuhusu Dumu na fagio nakosa mzuka wa kuoa!

Kila nikiwaza Kuhusu Dumu na fagio nakosa mzuka wa kuoa!

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
To be honest
Mpaka Muda huu kuhusu maswala ya ndoa nakwama Sehemu moja

Kuzaa mtoto then asome katika Dumu fagio hapo tu.


NB Mimi najifunza kwa walio-fanikiwa tu

Dumu fagio ni hatari kwa kijana Mwenye uelewa sio tu anazalisha Bali anawaza future ya mtoto wake.

Madarasa ya Dumu fagio machafu hatari + tabia mbaya mbaya.


That why hata watoto wa Viongozi wetu hawawapeleki huko Dumu fagio.
 
Dumu na fagia in mzuka snaa tu mbn tumesoma huko na kufika udsm
 
Una safari ndefu Sana ya kupanua ubongo wako
 
Back
Top Bottom