To be honest
Mpaka Muda huu kuhusu maswala ya ndoa nakwama Sehemu moja
Kuzaa mtoto then asome katika Dumu fagio hapo tu.
NB Mimi najifunza kwa walio-fanikiwa tu
Dumu fagio ni hatari kwa kijana Mwenye uelewa sio tu anazalisha Bali anawaza future ya mtoto wake.
Madarasa ya Dumu fagio machafu hatari + tabia mbaya mbaya.
That why hata watoto wa Viongozi wetu hawawapeleki huko Dumu fagio.