Kila ninayemtogoza ananikataa, nifanye nini?

Auko peke yako umewakilisha asilimia Kama siyo 60 basi ni 55 ya vijana wakitaa

Angalia Kwanza muonekano wako Kama nimtu wa shati na suruali za vitambaa tafuta madem wanao vaa gauni au sketi za vitenge alafu wasiwe wanatumia smart phone ..

Kama nimtu wa midosho Kama t shirt na jeans tracks na soksi kwenye kobasi .. Bas tafuta madem wauswahilini ..

Kama wew nimtu wakupiga zile classic au tunaitaga official Yan kadet chini monka na shati suti kidogo au jeans na shati .. Bas unaweza tongoza yeyote inategemea tu na confidence utakayo iyonyesha kwao ..

Alafu kingine kutongoza kwa sikuizi hii yakukutana tu njiani unaomba namba hua Maranyingi aipo real Sana .. unaweza kusanya ata namba 3 au 4 zamadem kwasiku na bado usiambulie chochote

Madem wengi hupenda ku date na mtu ambae wamesha kutana Mara kadhaa aidha kwenye ma event Kama seminar .. church, harusini , ata ikiwa kitaa ila muwe tayari mmesha fanya zile high contact .. Yan lazima kuwe namna flan yakukuzoa japo siyo Sana ..

kwasababu .. imagine unachukua namba za mtu ambae kwenye sim yake Ana namba za wanaume wasiyo pungua 10 kati yao Kuna schoolmates zake Kuna walio kua nae enzi za utoto .. Kuna namba ya poti au ya mangi .Kuna number za mabaharia waicho kitaa anacho ishi..nk

sasa inakuja number yako ambayo ndo Kwanza inatafuta nafasi .. Apo ndipo kunamtiani .. ndo mana kwakuona Ni usumbufu unahmbulia kupigwa mizinga mitatu mimne .. ukikata tamaa ndo inakua imeisha iyo ..

Wengi wanasema tafuta pesa Ni sawa kunawatu walizitafuta pesa adi wakafa na awakuzipata ..kumbukeni upweke Ni mbaya Sana pia mwanamke uleta morari yakumfanya mwanaume achakarike .. unatoka mishe .. no SMS no one to call unaamua kuzurula kidogo usiku unarudi unaoga unalala kesho Tena ivyo ivyo what a boredom world !!!

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Real Mzee
 
Mwenzenu na mwaka wa nne sasa hivi. Kila msichana ninayemfuata mimi hajawahi kunikubalia na wengine wananikataa kwa dharau sana halafu wasichana ninaowafuata ni wakawaida mno. Mwanzoni niliona kawaida ila sasa hivi naona kama ni tatizo.

Naomba ushauri wenu.

Tafuta pesa kwanza ndugu yangu . Utapata wanawake wa kila aina
 
Labda unatumia same strategy afu mtaa huo huo.

Siku hizi wadada wamekuwa na mbinu eti na wao wanahadisiana.

Unakuta kabisa Dinazarde anamhadisia Hornet afu huna maajabu mbinu ile ile waje wakutane saluni wamhadisie na cariha humo na yeye amuambie Mzigua90 hapo lazima ule wa chuya.

Hebu jiweke msafi nukia tembea kiume kwa kujitanua kidogo then nenda mtaa wa mbali huko njoo na pisi kali uwarushe roho kidogo.

[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji87][emoji87][emoji87]
Nishafanyaga hiyo mission kitaa hakukalika kila mtu jicho kwangu Eti Siku hizi Nachapa Lapa [emoji39]
 
Ukiwa hb huna haja ya kutupia sana coz sura inakubeba. Ila kwa watu km ww ambao kidg mna sura personal ili utoboe ni lazma utupie hasa, uhonge sana na hata kuroga. Ila cc wengin tunavaa rough tu, atuna ela na tunawakokota sana tu
 
Uko wapi brother? Tafuta pesa ng'oa demu mmoja wengine watajilengesha wenyewe. Wanawake hawampendagi mtu ambaye hana demu.
Shida kumbe ni pesa? Ila ukiwa hb kama mm inakua huana haja ya kuvaa upendeze, sijui nini yaan unavaa hata ndala tu na unamtupia voko demu yeyote na hachomoi, ila kwa watu wenye sura personal kam ww ni lazm utupie pamba kali hasa na uwe na ela pia
 
Tafuta pesa kwanza ndugu yangu . Utapata wanawake wa kila aina
Kama ni hivyo basi pesa yake ndio itapendwa na si yeye, hebu toa ushauri wenye tija, ni bora ukae kimya tu kama huna la MSINGI la kumshauri.
 
We kajamaa unajua kuwa una matatizo?
Rudia replies zako zote utajiona una tatizo gani .inaonekana shuleni ulikuwa unaongoza darasani ee? Au kama ulikuwa huongozi walikuwa wanakuskiliza sana wenzako.
 
Auko peke yako umewakilisha asilimia Kama siyo 60 basi ni 55 ya vijana wakitaa

Angalia Kwanza muonekano wako Kama nimtu wa shati na suruali za vitambaa tafuta madem wanao vaa gauni au sketi za vitenge alafu wasiwe wanatumia smart phone ..

Kama nimtu wa midosho Kama t shirt na jeans tracks na soksi kwenye kobasi .. Bas tafuta madem wauswahilini ..

Kama wew nimtu wakupiga zile classic au tunaitaga official Yan kadet chini monka na shati suti kidogo au jeans na shati .. Bas unaweza tongoza yeyote inategemea tu na confidence utakayo iyonyesha kwao ..

Alafu kingine kutongoza kwa sikuizi hii yakukutana tu njiani unaomba namba hua Maranyingi aipo real Sana .. unaweza kusanya ata namba 3 au 4 zamadem kwasiku na bado usiambulie chochote

Madem wengi hupenda ku date na mtu ambae wamesha kutana Mara kadhaa aidha kwenye ma event Kama seminar .. church, harusini , ata ikiwa kitaa ila muwe tayari mmesha fanya zile high contact .. Yan lazima kuwe namna flan yakukuzoa japo siyo Sana ..

kwasababu .. imagine unachukua namba za mtu ambae kwenye sim yake Ana namba za wanaume wasiyo pungua 10 kati yao Kuna schoolmates zake Kuna walio kua nae enzi za utoto .. Kuna namba ya poti au ya mangi .Kuna number za mabaharia waicho kitaa anacho ishi..nk

sasa inakuja number yako ambayo ndo Kwanza inatafuta nafasi .. Apo ndipo kunamtiani .. ndo mana kwakuona Ni usumbufu unahmbulia kupigwa mizinga mitatu mimne .. ukikata tamaa ndo inakua imeisha iyo ..

Wengi wanasema tafuta pesa Ni sawa kunawatu walizitafuta pesa adi wakafa na awakuzipata ..kumbukeni upweke Ni mbaya Sana pia mwanamke uleta morari yakumfanya mwanaume achakarike .. unatoka mishe .. no SMS no one to call unaamua kuzurula kidogo usiku unarudi unaoga unalala kesho Tena ivyo ivyo what a boredom world !!!

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Uko sahh kabisa yaan madem wana nama nyng sana za wanaume waliozoeana nao. Sasa mpaka ww mgeni umpate mmmhhh labda utumie nguvu ya ziada mfano pesa
 
We kajamaa unajua kuwa una matatizo?
Rudia replies zako zote utajiona una tatizo gani .inaonekana shuleni ulikuwa unaongoza darasani ee? Au kama ulikuwa huongozi walikuwa wanakuskiliza sana wenzako.
Kwa nini wasema hivyo mkuu?
 
Mwenzenu na mwaka wa nne sasa hivi. Kila msichana ninayemfuata mimi hajawahi kunikubalia na wengine wananikataa kwa dharau sana halafu wasichana ninaowafuata ni wakawaida mno. Mwanzoni niliona kawaida ila sasa hivi naona kama ni tatizo.

Naomba ushauri wenu.

Mbona huyo pichani kaonyesha dalili zote za kukubali
 
Back
Top Bottom