Kila ninayemvuta kwangu ananikimbia, mkwamo unaanzia wapi wadau?

Mi ninavyujua sayansi rahisi ncha za sumaku zinazofanana hukimbiana.
Jaribu kwa Mabaharia, wakikumbia leta mrejesho. Upate ushauri
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lazima wakimbie sijui ni yupi kati ya hao ila ww ni
mvulana,
Bishoo,
Nywele ina dawa,
Mmelegea ona vimikono,
Camera 360 filter juu,
Mengine wataongezea wakija
Unauliza ni yupi atakua ni huyo mbinua domo
 
Hebu tazama hao magentlemen hapo chini Pia uone kama unaweza fit hapo ? Na unakosea wap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…