Kila nyakati na majira yake! Thamani yako itakoma ukitoka kwenye cycle

Na Karma hii usifikiri inaenda kwa viongozi wa Serikalini walio madarakani tu bali hufika mpaka kwenye vyama vya upinzani

Kwahiyo tutegemee siku Karma ikafika mpaka kwa familia ya boss wenu Mbowe kwa damu ya Chacha Zakayo Wangwe
Sio mwamini sana wa mambo ya karma cause kuna orodha kubwa sana ya watu waliofanikiwa kwa either kutesa na kuua wengine na wameendelea ku excel, mifano ninayo mingi though najua maisha ya baadhi ya watu ambao wazazi wao wametesa na kuua watu na sasa wanaipata hasa, now siwezi jua kama nao wanalipia madhambi ya wazazi wao au wao wenyewe hawakujiandaa kibinafsi or hawakuzitumia vema fursa zilizokuwepo enzi wazazi wao wakiwa vizuri; mifano ipo mingi. Sitaki kabisa kuamini eti wanacho kipitia familia ya Nyerere (kulingana na mleta uzi cause me sijui kama wale hawana maisha mazuri ), Deo Filikonjombe na kampten John Komba; nikitazama maovu ya hao watu then naona kabisa ni ya kutafuta kwa tochi but wapo watu waliofanya maovu mengi na tunawajua na wengine wamekufa but watoto wao bado wanakula good time; wengi tu. Lakini pia tunajua watoto wa Mabutu wa Zaire/sasa Congo ya Kinshasa, najua pia maisha ya mwandani wake mmoja pamoja na wanae, anaishi maisha ya kuomba omba tu pale jijini Kinshasa, again sina hakika kama ile ni Karma or matokeo ya kuto kujiandaa.

Mwisho (of course ndio kilicho nifanya ni quote kwako) hivi kabisa kuna Mtanzania mwenye akili zake timamu kabisa na kichwani upo ubongo unaofanya vizuri tu na alikua mtu mzima kabisa wakati Chacha Wangwe anafariki halafu mtu huyo aamini kwamba Chacha aliuwa na Freeman Aikael Mbowe? Stupid; I don't believe it. Yaani dereva aliyemsababishia ajali ambae tuliambiwa hata leseni ya udereva hakua nayo, kaua, yeye kapona (let's assume alitumwa na Mbowe kama unavotaka tuamini) halafu muuaji huyo huyo asifungwe? Tuanzishe vyuo vyenye kutoa degree za ujinga na upumbavu wallah.
 
Mwisho (of course ndio kilicho nifanya ni quote kwako) hivi kabisa kuna Mtanzania mwenye akili zake timamu kabisa na kichwani upo ubongo unaofanya vizuri tu na alikua mtu mzima kabisa wakati Chacha Wangwe anafariki halafu mtu huyo aamini kwamba Chacha aliuwa na Freeman Aikael Mbowe? Stupid; I don't believe it. Yaani dereva aliyemsababishia ajali ambae tuliambiwa hata leseni ya udereva hakua nayo, kaua, yeye kapona (let's assume alitumwa na Mbowe kama unavotaka tuamini) halafu muuaji huyo huyo asifungwe? Tuanzishe vyuo vyenye kutoa degree za ujinga na upumbavu wallah✌🏾
 
Kwa story hii unamaanisha karma ni neno kama lilivyo tu na siyo kitendo cha aina yoyote
Karma is the principle of cause and effect, not revenge; it reflects consequences of actions, not retaliation.
 
Back
Top Bottom