Kila nyumba imara,yupo mwanamke

Kila nyumba imara,yupo mwanamke

fimboyaukwaju

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
2,977
Reaction score
3,798
Nyumba zote zilizo imara,ujue mchango wa mwanamke ni mkubwa sana,na kila nyumba zinazotetereka mchango mkubwa ni wa mwanaume
 
Shida uanzia kuwapata, maana wengi wamezalishwa
Kuanza moja bila ni tatizo afu upande wapili unakuta nahawa wa elfu 2 ndio full mchanganyo ukiweka mguu yeye anatoa
 
Ubandani kuna raha..jaribu wa buku buku utannishukuru siku moja
 
Back
Top Bottom