F fimboyaukwaju JF-Expert Member Joined Aug 3, 2020 Posts 2,977 Reaction score 3,798 Dec 25, 2024 #1 Nyumba zote zilizo imara,ujue mchango wa mwanamke ni mkubwa sana,na kila nyumba zinazotetereka mchango mkubwa ni wa mwanaume
Nyumba zote zilizo imara,ujue mchango wa mwanamke ni mkubwa sana,na kila nyumba zinazotetereka mchango mkubwa ni wa mwanaume
Doji MD JF-Expert Member Joined Dec 27, 2019 Posts 1,770 Reaction score 3,552 Dec 25, 2024 #2 Shida uanzia kuwapata, maana wengi wamezalishwa Kuanza moja bila ni tatizo afu upande wapili unakuta nahawa wa elfu 2 ndio full mchanganyo ukiweka mguu yeye anatoa
Shida uanzia kuwapata, maana wengi wamezalishwa Kuanza moja bila ni tatizo afu upande wapili unakuta nahawa wa elfu 2 ndio full mchanganyo ukiweka mguu yeye anatoa
Mamsosa JF-Expert Member Joined Sep 3, 2024 Posts 1,047 Reaction score 2,246 Dec 25, 2024 #3 Ubandani kuna raha..jaribu wa buku buku utannishukuru siku moja