Kila saa pale Merekani mtoto hufa kwa jeraha la risasi By Chriss Brown

Dodoma Demand

Senior Member
Joined
Oct 6, 2021
Posts
130
Reaction score
74
"Every to hours America Today child dies of gunshot wound!? "Is scared they what family planning to work or behavior"

Tuendelee kuchezea Label ya "tanzania mpya" na "tanzania ni nchi ya amani"
 
tatizo la marekani ni siasa mbaya iliyokumbatia ubaguzi wa rangi, kiasi hata mifumo ya sheria inaabudu hilo.

Ni kama ilivyo tanzania ambapo ubaguzi wa kisiasa umejikita hasa katika jeshi la polisi wanaopaswa kuwa watunza amani pasipo kuangalia itikadi za kisiasa.....mharibifu wa amani ya tz atakuwa yule anayelipwa mishahara ili atunze amani.

mp.umbavu hawezi kunielewa
 
Gemu gumu wengine huwa wanakimbilia KIFO TU... Hata Tanzania wapo full mivutano wakati hakuna cha maana kinachofanyika.... Watu wanapiga siasa za majukwaani tu.... Inaitwa UPINZANI/UTAWALA UCHWALA - MASHABIKI MTAUANA WENYEWE
 
Back
Top Bottom