Kila sehemu wanatoboa makaravati, hata ambayo hazina shida, tenda za wakuu

Kila sehemu wanatoboa makaravati, hata ambayo hazina shida, tenda za wakuu

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2010
Posts
1,364
Reaction score
2,396
Sijui ni mradi wa kigogo gani, nimezunguka mikoa kama 15 Ndani ya miezi miwili iliopita, nimeona kuna miradi ya kuweka makaravati kwenye barabara kuu za kuunganisha mikoa na wilaya

Najua lazma hii tenda atakuwa kajipa kigogo wa serikali lakini nikiti sina uhakika na hilo , lakini kinachonishangaza, nimeona hao wakandarasi wanakata barabara sehemu ambayo makaravati au nataka dogo lilikuwepo na kuweka daraja jingine ili hali sehemu hiyo haijawahi KUWA na shida ya flooding, ni kama wanatakatisha pesa na nisawa na MTU mwenye mguu mzima kufungwa POP angali mzima.

Huu mradi ni nzuri lakini ulipaswa kulenga sehemu zenye changamoto, sio Kila sehemu wanatoboa ilimradi wapeleke certificate serikalini walipwe.

Halaf mbona serikali inajibu hoja nyingi za mtandaoni na kuzifanyia KAZI lakini haki ya uchaguzi huru wenye haki Ndani wanakaa kimya
 
jeshi linakuja kuondoa mtu wa irani
 
Back
Top Bottom