Kila sekunde, $4,108 inatumiwa kulipa watu wenye skill kama yako mtandaoni. Tanzania vijana wapo tayari?

Habari Ray of light,

Kwanza kabisa ni vizuri kuwa na Skills zaidi ya moja. Hii itakusaidia kuwa na wigo mpana wa kupata gigs (kazi).

Kwahiyo jibu ni ndiyo. Unaweza ukapata kazi za data entry. Muhimu ongezea hiyo skill ya data entry katika profile yako.

All the best.
Shukrani kaka
 
We weka utaratibu mzima wa kujiunga huko upwork na jinsi gani utapata hizo kazi. Maana nyie motivational speaker mnazungumziaga vitu kilaini sana. Ongelea ugumu nao!

Habari mkuu,

Hakuna kitu nimeacha kuhusu Online freelancing. Nimeelezea mambo mengi kuhusu Upwork,

Kama umeshindwa kupata kazi Upwork soma Uzi wangu wenye heading

Upwork : Sababu 4 kwanini unakosa kazi (from verified member with 90%+ job success rate)

Pia kama hata hufahamu Online freelance ni nini pitia hapa

Beginner Level : Je, Online Freelancing ni nini? Kazi zinatoka wapi? Ni Skills gani zinahitajika? Nitalipwaje pesa? Jifunze kila kitu hapa

Mwisho, ukiwa na pupa na kupenda mambo rahisi lazima freelancing itakutoa jasho kwasababu lengo lako ni Kutengeneza pesa badala ya kufahamu je, upo na weledi client akupatie pesa?

Kwenye hili eneo mimi sibahatishi ndugu. Nimeweka kwenye makala zangu kila aina ya proof.

Cheers [emoji1635]
 
Habari Ray of light,

Kwanza kabisa ni vizuri kuwa na Skills zaidi ya moja. Hii itakusaidia kuwa na wigo mpana wa kupata gigs (kazi).

Kwahiyo jibu ni ndiyo. Unaweza ukapata kazi za data entry. Muhimu ongezea hiyo skill ya data entry katika profile yako.

All the best.
Mkuu kwenye ku set language proficiency inanizingua pale. Nshajaza profile ila nashindwa ku submit.
 
Language proficiency inabidi uweke fluent kwa Kiingereza na Native or Bilingual kwa Kiswahili ambayo ni langu yetu ya kwanza.

Angalia hii kazi nimetumiwa invitation muda huu $160+ July 28, 2020 saa 18:27

IMG_0858.jpg

Kwahiyo mkuu nakuonyesha kwamba mimi nikisema au nikiandika kitu hapa lengo langu ni kuongeza value kwa kitu nachokifanya kwa 100%

Ndiyo maana wakati mwingine nasema inabidi unilipe ili nikuonyeshe jinsi ninavyo pitch kupata hizi kazi. Au kufanya client anitumie mwenyewe invitation.

I invested my time + money to learn this skill. It’s called persuasion. The number one Skills you need to learn as freelancer.

Cheers [emoji1635]
 
Attachments

  • IMG_0858.jpg
    IMG_0858.jpg
    49.6 KB · Views: 8
Language proficiency inabidi uweke fluent kwa Kiingereza na Native or Bilingual kwa Kiswahili ambayo ni langu yetu ya kwanza.

Angalia hii kazi nimetumiwa invitation muda huu $160+

View attachment 1519740

Kwahiyo mkuu nakuonyesha kwamba mimi nikisema au nikiandika kitu hapa lengo langu ni kuongeza value kwa kitu nachokifanya kwa 100%

Ndiyo maana wakati mwingine nasema inabidi unilipe ili nikuonyeshe jinsi ninavyo pitch kupata hizi kazi. Au kufanya client anitumie mwenyewe invitation.

I invested my time + money to learn this skill. It’s called persuasion. The number one Skills you need to learn as freelancer.

Cheers [emoji1635]
Dah, kwangu mie ile drop down menu hai launch kabisa. So nashindwa ku submit mkuu. Maybe ningepata laptop, nadhani ni tatizo la system yao tu.

Kazi nzuri mkuu, wacha na mie nikomae. Kupiga dollar zaidi ya 300 kwa week ni ishu ya maana. Atleast huku naweza jitoa ila sio ule upuuzi wa forex.
 
Japo sipendi kuwa “diss” watu wa forex ila niseme tu ile mambo ni risk sana na haipo consistent.

Kwangu mimi ni bora uwekeze muda mwingi kwenye opportunity kama Online freelancing kwasababu ni sustainable.

Mimi namfahamu dada mmoja toka Zanzibar yeye ametengeneza zaidi ya Milioni 150 za kitanzania Upwork pekee.

Trust me, mimi nitarudi hapa baada ya miaka michache nitakuwa nimetengeneza zaidi ya milioni 200 za kitanzania.

Najua watu wanaweza shituka. Lakini niseme wazi inawezekana. Hasahasa unapofikia kuwa TOP RATED freelancer.

Binafsi job success rate yangu sasa hivi ni 99%. Wiki moja nyuma nilikuwa 90%

Nikifika 100% mimi ni Top Rated [emoji1628]

Hiyo maana take client watakuwa wanaona profile yangu zaidi na kunichagua mimi zaidi.

Hii ndiyo sababu kuu freelancer mwenye mafanikio anazidi kupata mafanikio.

People pay me money to share this secrets.
 
Inabidi ujaze kila kitu vizuri kuanzia mwanzo.

Kuna mtu nimemsaidia jana na inafanya kazi bila tatizo.

Cheers [emoji1635]
 
Inabidi ujaze kila kitu vizuri kuanzia mwanzo.

Kuna mtu nimemsaidia jana na inafanya kazi bila tatizo.

Cheers [emoji1635]
Nimeweza, nimeswitch to desktop mode ikafaa. Sasa naona kazi zina display kwenye COVid19, My Feed na Recommendations. What next pale?
 
Japo sipendi kuwa “diss” watu wa forex ila niseme tu ile mambo ni risk sana na haipo consistent.

Kwangu mimi ni bora uwekeze muda mwingi kwenye opportunity kama Online freelancing kwasababu ni sustainable.

Mimi namfahamu dada mmoja toka Zanzibar yeye ametengeneza zaidi ya Milioni 150 za kitanzania Upwork pekee.

Trust me, mimi nitarudi hapa baada ya miaka michache nitakuwa nimetengeneza zaidi ya milioni 200 za kitanzania.

Najua watu wanaweza shituka. Lakini niseme wazi inawezekana. Hasahasa unapofikia kuwa TOP RATED freelancer.

Binafsi job success rate yangu sasa hivi ni 99%. Wiki moja nyuma nilikuwa 90%

Nikifika 100% mimi ni Top Rated [emoji1628]

Hiyo maana take client watakuwa wanaona profile yangu zaidi na kunichagua mimi zaidi.

Hii ndiyo sababu kuu freelancer mwenye mafanikio anazidi kupata mafanikio.

People pay me money to share this secrets.
Eeh it makes sense maana atleast unafanya kitu kinachoonekana mkuu. Ni kazi ndio zinaleta hela. Wameniambia hadi wa verify account ndio naweza tuma proposal.
 
Inabidi ujaze kila kitu vizuri kuanzia mwanzo.

Kuna mtu nimemsaidia jana na inafanya kazi bila tatizo.

Cheers [emoji1635]
Upgrade membership to see bid range? Hii inahusiana na nini nayo?

Samahan nakusumbua mkuu ila kiukweli baraka ziko katika kusaidia wenye uhitaji.
 
Japo sipendi kuwa “diss” watu wa forex ila niseme tu ile mambo ni risk sana na haipo consistent.

Kwangu mimi ni bora uwekeze muda mwingi kwenye opportunity kama Online freelancing kwasababu ni sustainable.

Mimi namfahamu dada mmoja toka Zanzibar yeye ametengeneza zaidi ya Milioni 150 za kitanzania Upwork pekee.

Trust me, mimi nitarudi hapa baada ya miaka michache nitakuwa nimetengeneza zaidi ya milioni 200 za kitanzania.

Najua watu wanaweza shituka. Lakini niseme wazi inawezekana. Hasahasa unapofikia kuwa TOP RATED freelancer.

Binafsi job success rate yangu sasa hivi ni 99%. Wiki moja nyuma nilikuwa 90%

Nikifika 100% mimi ni Top Rated [emoji1628]

Hiyo maana take client watakuwa wanaona profile yangu zaidi na kunichagua mimi zaidi.

Hii ndiyo sababu kuu freelancer mwenye mafanikio anazidi kupata mafanikio.

People pay me money to share this secrets.
Unaonekana umeianzia siku nyingi sana mkuu.
 
Eeh it makes sense maana atleast unafanya kitu kinachoonekana mkuu. Ni kazi ndio zinaleta hela. Wameniambia hadi wa verify account ndio naweza tuma proposal.

Ndiyo itachukuwa saa 24 kufanyia review application yako na kama wataona unakidhi vigezo vyao utakubaliwa.
 
Kwahio wanaweza kunitosa pia?

Ndiyo mkuu. Chance ni 50/50

Upwork sasa hivi wanasheria kali kwasababu wanataka kuendelea ku-maintain hadhi ya jukwaa lao. Kufanikisha hili inabidi wachuje sana freelancers kupata top quality wenye Skills zenye demand.

Kipindi hiki cha covid 19 watu wengi wamekuwa wakitatufa hizi opportunity sasa volumes ya maombi ya kujiunga ni kubwa. Kwahiyo katika hili Upwork wapo makini.

Nadhani itafika kipindi kujiunga Upwork itakuba vigumu zaidi ya ilivyo sasa.

Ni bora kuwahi mapema.
 
Mi nilifunguaga account muda sana. Sema sikuwa nimejaza profile. Itabjdi nikutafute uniivishe kimbinu nianze kuokota kazi moja moja. Wacha nione watanijibuje.

Pia account ya Payoneer nafunguaje na kuilink na upwork.
 
Karibu mkuu, Nitakuonyesha kila kitu step by step. Nitakuonyesha proposal zangu ninavyoandika hadi messages nazowasiliana na clients. Lakini hapa lazima unilipe [emoji383][emoji1430]. Pia nitakupatia mbinu za kupata hizi kazi. Shida kubwa ilipo ni kwamba freelancer wengi wageni hawafahamu namna ya ku pitch ili client akisoma tu proposal yako anafahamu huyu anaelewa anachojaribu kunieleza lakini pia kama nikimpatia kazi basi ataikamilisha bila tatizo. Ni psychology.
 
Isiwe hela ya kupaulia nyumba lakini maana haitapendeza tukishindwa kufikia lengo. Fanya kama msaada tu braza.
GLOBAL CITIZEN

Hahaha umenichekesha mkuu hela yakupaulia nyumba [emoji23]

Subiria kwanza uone Upwork watakujibu nini mkuu.

Trust me, ukiwa consistency kwenye hii mambo utaanza kujilia hizi $100 kimya kimya.

Inasaidia sana.

Binafsi pesa nayopata Upwork natumia ku-invest kwenye real estate ambayo ni sustainable zaidi. Ndiyo maana umeona nafanya business ya AirBnB vilevile.

Unahitaji kuwa strategic na kuvumilia kidogo tu.
 
Back
Top Bottom