Kila sekunde, $4,108 inatumiwa kulipa watu wenye skill kama yako mtandaoni. Tanzania vijana wapo tayari?

Kila sekunde, $4,108 inatumiwa kulipa watu wenye skill kama yako mtandaoni. Tanzania vijana wapo tayari?

Hahaha umenichekesha mkuu hela yakupaulia nyumba [emoji23]

Subiria kwanza uone Upwork watakujibu nini mkuu.

Trust me, ukiwa consistency kwenye hii mambo utaanza kujilia hizi $100 kimya kimya....
Eeh maana naonaga wafanyabiashara wanaolipwa kwa usd kukuropokea $500 mtu anaona kawaida tu. Biashara zenyewe zinakuwa za kamari😆😆😆
 
Language proficiency inabidi uweke fluent kwa Kiingereza na Native or Bilingual kwa Kiswahili ambayo ni langu yetu ya kwanza.

Angalia hii kazi nimetumiwa invitation muda huu $160+ July 28, 2020 saa 18:27

View attachment 1519740

Kwahiyo mkuu nakuonyesha kwamba mimi nikisema au nikiandika kitu hapa lengo langu ni kuongeza value kwa kitu nachokifanya kwa 100%

Ndiyo maana wakati mwingine nasema inabidi unilipe ili nikuonyeshe jinsi ninavyo pitch kupata hizi kazi. Au kufanya client anitumie mwenyewe invitation.

I invested my time + money to learn this skill. It’s called persuasion. The number one Skills you need to learn as freelancer.

Cheers [emoji1635]
Kwa jinsi nilivyofuatilia thread zako,uko vizuri ktk hii issue, mambo mengi yanayokwamisha watu wewe unayajua, but people will trust you slowly don't be hury, c'se there is no hury in Africa!
 
Japo sipendi kuwa “diss” watu wa forex ila niseme tu ile mambo ni risk sana na haipo consistent.

Kwangu mimi ni bora uwekeze muda mwingi kwenye opportunity kama Online freelancing kwasababu ni sustainable.

Mimi namfahamu dada mmoja toka Zanzibar yeye ametengeneza zaidi ya Milioni 150 za kitanzania Upwork pekee.

Trust me, mimi nitarudi hapa baada ya miaka michache nitakuwa nimetengeneza zaidi ya milioni 200 za kitanzania.

Najua watu wanaweza shituka. Lakini niseme wazi inawezekana. Hasahasa unapofikia kuwa TOP RATED freelancer.

Binafsi job success rate yangu sasa hivi ni 99%. Wiki moja nyuma nilikuwa 90%

Nikifika 100% mimi ni Top Rated [emoji1628]

Hiyo maana take client watakuwa wanaona profile yangu zaidi na kunichagua mimi zaidi.

Hii ndiyo sababu kuu freelancer mwenye mafanikio anazidi kupata mafanikio.

People pay me money to share this secrets.
MMH
 
Hahaha umenichekesha mkuu hela yakupaulia nyumba [emoji23]

Subiria kwanza uone Upwork watakujibu nini mkuu.

Trust me, ukiwa consistency kwenye hii mambo utaanza kujilia hizi $100 kimya kimya.

Inasaidia sana.

Binafsi pesa nayopata Upwork natumia ku-invest kwenye real estate ambayo ni sustainable zaidi. Ndiyo maana umeona nafanya business ya AirBnB vilevile.

Unahitaji kuwa strategic na kuvumilia kidogo tu.
[/QUOTE

Nahitaj msaada unishike mkono mkuu na mm niweze fanya hiyoo kaz mkuu
 
PEER TO PEER STAFFING PLATFORM NAONA INASHIKA KASI SANA EEEH SIE SILICON DAR TUNAKWAMA WAPI
 
upwork.jpg

Anachosema jamaa ni kweli kabisa na mimi nishatengeneza mpunga wa kutosha na bado nautengeneza
 
Mkuu naomba unipe mwongozo wa mambo yakuzingatia kabla na wakati nikiwa na translate document kutoka English, kwenda Swahili
Natanguliza shukrani zangu
 
Mkuu naomba unipe mwongozo wa mambo yakuzingatia kabla na wakati nikiwa na translate document kutoka English, kwenda Swahili
Natanguliza shukrani zangu

Mambo yakuzingatia unayapata kutokana na kazi husika.

Lazima ujue kumuuliza client kila swali ili ufahamu anachokitaka hasa ni nini.

Mwisho ni mambo ya kawaida tu. Utahakiki kazi yako na kumtumia client.

Online freelancing inahitaji talent na si watu wenye mawazo ya old ways of thinking and doing things.

Cheers [emoji1635]
 
Back
Top Bottom