HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Huu ndiyo uhalisia kwani sheria zimewekwa na serikali ambazo zina tanguliza masilahi ya familia za viongozi wake.
Kuna filamu Moja ya kihindi Enzi zetu ilipendwa sana iliitwa anda kanoon kama sikosei,ikimaanisha Duniani hakuna Haki!,Mungu pekee ndio anajijua Haki na watu wachache wanaoamini kwa dhati uwepo wake!Huu ndiyo uhalisia kwani sheria zimewekwa na serikali ambazo zina tanguliza masilahi ya familia za viongozi wake.
Kweli kabisaKuna filamu Moja ya kihindi Enzi zetu ilipendwa sana iliitwa anda kanoon kama sikosei,ikimaanisha Duniani hakuna Haki!,Mungu pekee ndio anajijua Haki na watu wachache wanaoamini kwa dhati uwepo wake!
hata akiibuka mtu mdogo sana masikini anaisumbua serikali dola haitamuonea huruma itamshughulikiadola ya kaisari, haina huruma kwa mtu yoyote yule, anaeingilia maslahi yake.
na sijui kwa nini dola ni katili isiyo na huruma kwa yeyote anayeingilia maslahi yakedola ya kaisari, haina huruma kwa mtu yoyote yule, anaeingilia maslahi yake.
hiyo filamu staa ni nani na jambazi mkuu ni nani maana tulikuwa tunawajua mastaa na majambazi wa filamu hizoKuna filamu Moja ya kihindi Enzi zetu ilipendwa sana iliitwa anda kanoon kama sikosei,ikimaanisha Duniani hakuna Haki!,Mungu pekee ndio anajijua Haki na watu wachache wanaoamini kwa dhati uwepo wake!
Wataje na wewe akiwemo amish poor!hiyo filamu staa ni nani na jambazi mkuu ni nani maana tulikuwa tunawajua mastaa na majambazi wa filamu hizo