FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
- Thread starter
-
- #81
...aah, ataacha tu huyo wala asikutie wasiwasi. Priorities hazijakamilika tu.
Roselyne1....hebu jaribu uone madhara yake...then utatuhadithia....sio kila wafanyacho wanaume basi na wanawake nao wafanye...mbona wanaume wanabadilisha wanawake kama nguo ...na hili halionekani ni jambo la ajabu?
mie namsifu huyo dada,she has been true to herself and true to everyone else!
I know you are such a decent man Mbu,aliyekupata mpe hongera zake...!:A S 101::A S 101::target:
...aluuu, senkyu for ze komplimentz.
Mwenyewe anajua, sema anajitoa fahamu tu. Siku tawi likikatika ndio atajua Value yangu was 'Buy one get one free', au irreplaceable!, -Out of Stock.
ataacha Lini Mbu? miaka inaenda hii
Mbu Mbu Mbu Roselyne1 Kajuaje kama wewe ni very decent man ????:lalala:
Roselyne1....hebu jaribu uone madhara yake...then utatuhadithia....sio kila wafanyacho wanaume basi na wanawake nao wafanye...
Mbu Mbu Mbu Roselyne1 Kajuaje kama wewe ni very decent man ????:lalala:
mie labda magonjwa tu ndio nayaogopa,ila sidhani kama kuna madhara...kama 'kutumika' ni sawa tu km vile unavyokuwa na mmoja na 'kufanya' mara nyingi....the end-result is the same!
mnh mbona na wewe Firstlady najua ni decent girl/woman...kwani huwezi soma watu na posti zao dada FL1???😛ainkiller:
Ni Binti wa miaka 26-27 siku zote ananishangaza na mienendo yake
Nadhani akikaa sana B/f haizidi 2 years hapo kajitahidi sana.kishafanya engagement zaidi ya 3 zote anawaacha wachumba.
Nilijaribu kumdadisi kwa nini anadai eti huwa anawachoka wanaume hajisikii kabisa kukaa na mwanamme muda mrefu..na akizidisha mwaka anakuwa kwenye mahusiano asiyoyapenda hata kidogo anaboreka ,anakosa amani na hatamani kumuona huyo mtu..
Yuko tayari kutafuta sababu ili aachane na boyfriend aliye naye ili atafute B/F mpya.
**Asaidiweje binti huyu**
Mie binafsi naona kama anashindwa kuelewa mwili wake ni wa thamani sio kila mtu anayekuja usoni kwake anastahili kupewa penzi...:A S 39:
..
mbona wanaume wanabadilisha wanawake kama nguo ...na hili halionekani ni jambo la ajabu?
mie namsifu huyo dada,she has been true to herself and true to everyone else!
hahahaaa sas ahapo mi nimemfanyeje si alikuja hapa akasema alijibamiza kwenye nguzo ya concrete akimgeukia mrembona akaota nundu??
utaniamulia kam siku ile si ndio????
btw nimemisi kugombana naye kweli ni sehemu ya misha yetu anyway....thats how we are!!! and I love it!!
mie labda magonjwa tu ndio nayaogopa,ila sidhani kama kuna madhara...kama 'kutumika' ni sawa tu km vile unavyokuwa na mmoja na 'kufanya' mara nyingi....the end-result is the same!
this world is not fair, kuna watu wanacheza sana na maisha ya watu kwa kweli.
last month nilienda hosp. nikakutana na dada mmoja alikuwa na shida ya kuona na gaino, ktk piga story akanipa historia ya maisha yake, hajabahatika kupata mtoto ila mimba zimeharibika 8 na kila akipimwa anaambiwa yuko fit kila mahali hana hata magonjwa ya zinaa, ila sasa anatoa majimaji yayonukia asumin ukeni!!! hayo yote ni majini yasiotaka abebe mimba, si maajabu haya jamani!!
ni majini mahaba hayo aliona nayo huyu dada pia, akasafishwe nyota sijui?
BHT,
YAANI umeongea kitu kikubwa sana.... jana tu nilikutana na bi dada mmoja ambaye enzi zake alikuwa moto wa kuotea mbali! Kipindi hicho tena alikuwa kaolewa lakini alikuwa hashikiki..... mumewe mwenyewe alikuwa hakohoi kwake! Nilipomuona jana kwanza sikumtambua hadi nilipomuangalia mara mbili sura ikanijia.NILISHTUKA kusema kweli maana alikuwa kachooka! Alikuwa anaonyesha kuumwa sana. Mwili umetepetaaaa.... urefu aliokuwa nao kapindaaaa.... macho yamelegeaaa.. nilishtuka sana nikasema " ama kweli hujafa hujaumbwa!" Kuna kuzeeka lakini ule wake nadhani ni shauri ya kuzidisha kutafuta romance! Mwili ukawa umepelekeshwa arijojo hadi ...... sina hata la kusema.
Kwa warembo wote hapa JF...... JAMANI mjue kuna leo na kesho..wekeza uzuri/ulimbwende wako kwa siku zijazo ili usijifuje ukabaki kuwaacha watu wakihadithia " enzi zake alikuwa mrembo sana msimuone vile"...ZEEKENI GRACEFULLY! Kwani si tunaona watu wakizeeka na kubakia warembo? Mnadhani ni kwanini?
hivi haya majini mahaba ndio ma nini jamani nimeona post nyingine tena jina mahaba loh hatari kweli kweli:A S 20:
mie labda magonjwa tu ndio nayaogopa,ila sidhani kama kuna madhara...kama 'kutumika' ni sawa tu km vile unavyokuwa na mmoja na 'kufanya' mara nyingi....the end-result is the same!