Kila siku anahitaji Penzi jipya imekaaje hii

Kila siku anahitaji Penzi jipya imekaaje hii

mbona wanaume wanabadilisha wanawake kama nguo ...na hili halionekani ni jambo la ajabu?
mie namsifu huyo dada,she has been true to herself and true to everyone else!
Roselyne1....hebu jaribu uone madhara yake...then utatuhadithia....sio kila wafanyacho wanaume basi na wanawake nao wafanye...
 
I know you are such a decent man Mbu,aliyekupata mpe hongera zake...!:A S 101::A S 101::target:

...aluuu, senkyu for ze komplimentz.
Mwenyewe anajua, sema anajitoa fahamu tu. Siku tawi likikatika ndio atajua Value yangu was 'Buy one get one free', au irreplaceable!, -Out of Stock.
 
...aluuu, senkyu for ze komplimentz.
Mwenyewe anajua, sema anajitoa fahamu tu. Siku tawi likikatika ndio atajua Value yangu was 'Buy one get one free', au irreplaceable!, -Out of Stock.

Mbu Mbu Mbu Roselyne1 Kajuaje kama wewe ni very decent man ????:lalala:
 
ataacha Lini Mbu? miaka inaenda hii

...soon mydear, very soon. Tena akibadilika mwenyewe utamshangaa...
Heri ya huyo mwenye kuvunja mifupa wkt meno ipo, kuliko yule aifanyae ndoa ni kichaka cha kuwabadilisha wanaume kama nguo.
 
Roselyne1....hebu jaribu uone madhara yake...then utatuhadithia....sio kila wafanyacho wanaume basi na wanawake nao wafanye...

mie labda magonjwa tu ndio nayaogopa,ila sidhani kama kuna madhara...kama 'kutumika' ni sawa tu km vile unavyokuwa na mmoja na 'kufanya' mara nyingi....the end-result is the same!
 
Mbu Mbu Mbu Roselyne1 Kajuaje kama wewe ni very decent man ????:lalala:

mnh mbona na wewe Firstlady najua ni decent girl/woman...kwani huwezi soma watu na posti zao dada FL1???😛ainkiller:
 
mie labda magonjwa tu ndio nayaogopa,ila sidhani kama kuna madhara...kama 'kutumika' ni sawa tu km vile unavyokuwa na mmoja na 'kufanya' mara nyingi....the end-result is the same!

roselyne1 bwana unapendaga kusema kweli kabisa ..vere good excellent indeed weekend nitafute .....te te te teh
 
mnh mbona na wewe Firstlady najua ni decent girl/woman...kwani huwezi soma watu na posti zao dada FL1???😛ainkiller:

hahahaha mama Roselyne1 was kidding naona Mbu anahisi dalili za talaka hapa ....
 
Ni Binti wa miaka 26-27 siku zote ananishangaza na mienendo yake
Nadhani akikaa sana B/f haizidi 2 years hapo kajitahidi sana.kishafanya engagement zaidi ya 3 zote anawaacha wachumba.
Nilijaribu kumdadisi kwa nini anadai eti huwa anawachoka wanaume hajisikii kabisa kukaa na mwanamme muda mrefu..na akizidisha mwaka anakuwa kwenye mahusiano asiyoyapenda hata kidogo anaboreka ,anakosa amani na hatamani kumuona huyo mtu..
Yuko tayari kutafuta sababu ili aachane na boyfriend aliye naye ili atafute B/F mpya.
**Asaidiweje binti huyu**

Mie binafsi naona kama anashindwa kuelewa mwili wake ni wa thamani sio kila mtu anayekuja usoni kwake anastahili kupewa penzi...:A S 39:
..

Hivyo ndivyo alivyo huyo mdada. Mimi nimeshasema mara kibao hapa kuwa binadamu huwa tunakinai vitu. Ndio maana unaona hata kwenye ndoa watu huchokana tu bila sababu ya maana. Hali kama ya huyo mdada wala si ya ajabu. Watu wengi sana huwa nayo.

Na siyo kwamba mwili wake hauoni kuwa hauna thamani. Jaribuni kuelewa diversity iliyopo hapa duniani na kuwakubali watu kwa jinsi walivyo.
 
mbona wanaume wanabadilisha wanawake kama nguo ...na hili halionekani ni jambo la ajabu?
mie namsifu huyo dada,she has been true to herself and true to everyone else!

That's exctly the way I see it. Just let the girl be herself. If she gets bored after a little while so what? People are too judgemental and forget that not everybody is a conformist to what is regarded as being 'mainstream"

Leave the girl alone and let her be.
 
hahahaaa sas ahapo mi nimemfanyeje si alikuja hapa akasema alijibamiza kwenye nguzo ya concrete akimgeukia mrembona akaota nundu??

Kumbe moyoni ulikuwa unanicheka eeeh? Haya bana...

utaniamulia kam siku ile si ndio????

btw nimemisi kugombana naye kweli ni sehemu ya misha yetu anyway....thats how we are!!! and I love it!!

Umemiss kugombana na mimi? Sasa kisebusebu kilikuwa cha nini maana uligwaya siku ile...nilikusibiri uingie kwenye kumi na nane nikutwange na takbiru ala walibaluuu.....bahati yako machale yalikucheza mapema ukachomoa la sivyo ungekuwa........
 
mie labda magonjwa tu ndio nayaogopa,ila sidhani kama kuna madhara...kama 'kutumika' ni sawa tu km vile unavyokuwa na mmoja na 'kufanya' mara nyingi....the end-result is the same!

You have a lot of sense in your head. I like how you think. You keep it real. No fronting and no pretense, you just call it as you see it. Hebu ngoja nikuPM
 
this world is not fair, kuna watu wanacheza sana na maisha ya watu kwa kweli.
last month nilienda hosp. nikakutana na dada mmoja alikuwa na shida ya kuona na gaino, ktk piga story akanipa historia ya maisha yake, hajabahatika kupata mtoto ila mimba zimeharibika 8 na kila akipimwa anaambiwa yuko fit kila mahali hana hata magonjwa ya zinaa, ila sasa anatoa majimaji yayonukia asumin ukeni!!! hayo yote ni majini yasiotaka abebe mimba, si maajabu haya jamani!!
ni majini mahaba hayo aliona nayo huyu dada pia, akasafishwe nyota sijui?
 
hivi haya majini mahaba ndio ma nini jamani nimeona post nyingine tena jina mahaba loh hatari kweli kweli:A S 20:
 
BHT,
YAANI umeongea kitu kikubwa sana.... jana tu nilikutana na bi dada mmoja ambaye enzi zake alikuwa moto wa kuotea mbali! Kipindi hicho tena alikuwa kaolewa lakini alikuwa hashikiki..... mumewe mwenyewe alikuwa hakohoi kwake! Nilipomuona jana kwanza sikumtambua hadi nilipomuangalia mara mbili sura ikanijia.NILISHTUKA kusema kweli maana alikuwa kachooka! Alikuwa anaonyesha kuumwa sana. Mwili umetepetaaaa.... urefu aliokuwa nao kapindaaaa.... macho yamelegeaaa.. nilishtuka sana nikasema " ama kweli hujafa hujaumbwa!" Kuna kuzeeka lakini ule wake nadhani ni shauri ya kuzidisha kutafuta romance! Mwili ukawa umepelekeshwa arijojo hadi ...... sina hata la kusema.

Kwa warembo wote hapa JF...... JAMANI mjue kuna leo na kesho..wekeza uzuri/ulimbwende wako kwa siku zijazo ili usijifuje ukabaki kuwaacha watu wakihadithia " enzi zake alikuwa mrembo sana msimuone vile"...ZEEKENI GRACEFULLY! Kwani si tunaona watu wakizeeka na kubakia warembo? Mnadhani ni kwanini?

Mkuki kwa nguruwe.
 
Hii inatokea sana pale n'tu anapo taka kubadilishana radha.
Yawezekana huwa ananogewa na size karibia zote sasa anataka kukumbushia kila wakati.
 
hivi haya majini mahaba ndio ma nini jamani nimeona post nyingine tena jina mahaba loh hatari kweli kweli:A S 20:

Haya kwa upande wa mwanamke kuna mfanya awe anawashwa washwa kila wakati ndo maana yupo radhi amegwe hata na kichaa ili kupunguza muwasho wa hamu. Kuna babu yangu mmoja alisema dawa yake ni kuchukua ndizi mbivu unachomeka kwa musika mnategea amelala fofofo jini mahaba lile linahamia kwenye ndizi kuna binamu yangu alikuwa na tatizo hili hili sijui akina babu walitumia hii dawa au vp.
 
mie labda magonjwa tu ndio nayaogopa,ila sidhani kama kuna madhara...kama 'kutumika' ni sawa tu km vile unavyokuwa na mmoja na 'kufanya' mara nyingi....the end-result is the same!

this thinking is potentially dangerous and misleading, if not fallacious....roselyne,,..na wewe unahitaji mitishamba..
 
Back
Top Bottom