Kila siku kuna mtu anauawa au anajiua Njombe; nini mkakati wa Tanzania kudhibiti hali hiyo?

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Kasi ya watu kujiua Njombe ni kubwa sana kama ilivyo kasi ya wananchi kuwaua wenzao. Wengi wanadai ushirikina ni mkubwa sana na umepelekea hali hii kuongezeka.

Kama tuliweza kuondoa mauaji ya ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi tunashindwa nini kuendesha msako wa kuwabaini wachawi?

Naamini mchawi akikamatwa akaenda kuhifadhiwa mahabusu na tukichoma vitendea kazi vyake tumeondoa huu mtandao.

Lakini pia watu wa Njombe ni limbukeni wa mapenzi, akiachwa au hata kufokewa anaamini kifo ni haki yake. Kwanini tusiweke mkakati wa kufichua kufichua wapenzi waliogombana na tuweke mikakati ya kudhibiti wasijiue? Ukigomba na mpenzi wako tunakuwekea maspy wanafuatilia nyendo zako na kudhibiti viashiria vya kujiua.

Tusipofanya hivyo watoto wanaozaliwa Njombe wataiga mambo ya wazazi wao na kuamini kujiua ni sifa kwenye jamii.
 
Njombe kwa wakinga, ushirikina upo another level, ushamba pia upo juu Sana,mshamba akikosolewa huona kama kadhalilishwa kupita kiasi,
 
Tuache na mambo yetu bee utige ndauli ongea mambo ya wachaga wenzako wenye kisukari na presure
 
Kasi ya watu kujiua Njombe ni kubwa sana kama ilivyo kasi ya wananchi kuwaua wenzao. Wengi wanadai ushirikina ni mkubwa sana na umepelekea hali hii kuongezeka.

Kama tuliweza kuondoa mauaji ya ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi tunashindwa nini kuendesha msako wa kuwabaini wachawi?

Naamini mchawi akikamatwa akaenda kuhifadhiwa mahabusu na tukichoma vitendea kazi vyake tumeondoa huu mtandao.

Lakini pia watu wa Njombe ni limbukeni wa mapenzi, akiachwa au hata kufokewa anaamini kifo ni haki yake. Kwanini tusiweke mkakati wa kufichua kufichua wapenzi waliogombana na tuweke mikakati ya kudhibiti wasijiue? Ukigomba na mpenzi wako tunakuwekea maspy wanafuatilia nyendo zako na kudhibiti viashiria vya kujiua.

Tusipofanya hivyo watoto wanaozaliwa Njombe wataiga mambo ya wazazi wao na kuamini kujiua ni sifa kwenye jami
Is it true? Hizo habari zimehakikiwa?
Kwa sababu wanakoongoza kuuana duniani ni Chicago.
 
Back
Top Bottom