Ahaaaa ahaaaa leo nikirudi home lazima nikuanzishie ugomvi tugombane halafu tuishe hapo ulipopasema
Je wewe umeshawahi kubembelezwa ,mama kama kuna nafsi ya kudeka shurti udeke mwanamke ,shurti ubembelezwe DA hayo ndo mapenzi yanyewe ,hakuna ubaya hata kidogo
Ha ha ha ha Ellia wewe nimecheka kweli maana du
Nimekuwa na hili swali kwa muda mrefu sana.
Najiuliza "Hivi kwanini napenda sana kubembelezwa"???? NA kubembeleza????
Mwanzoni Husband alikuwa anashindwa ila siku hizi ha kila mara anafanya hivyo.
Ni kudeka, au ni kitu gani. Wakati nikiwa msichana mdogo nikiwa na mvulana usiponibembeleza nakupiga chini ila ukinibembeleza aahhh sikuachi.
Tena napenda yale maneno mazuri matamu matamu (Na mimi huwa nayatumia kwa sana) Baby, Darling, My Love, Sweetie, nk
NB: BE marufuku kuchangia hapa
Nilibembelezwa nilipokuwa mtoto mdogo since then sijawahi kubembelezwa l.o.lKwani wewe huwa hubembelezwi na kubembeleza??
Mambo.....mbona hujaniambia ulishampata BE? mwenzio nipo busy kumtafuta!
Pamoja na kwamba Obuntu si mpenzi wa Miziki ya "Kizazi Kipya": Hii kitu ya Barnaba inaogelea mambo ya kubembelezwa
Hebu isikilize:
YouTube - Barnaba - Nabembelezwa
Ahaaaa ahaaaa leo nikirudi home lazima nikuanzishie ugomvi tugombane halafu tuishe hapo ulipopasema
Sijampata mpaka sasa
Pamoja na kwamba Obuntu si mpenzi wa Miziki ya "Kizazi Kipya": Hii kitu ya Barnaba inaogelea mambo ya kubembelezwa
Hebu isikilize:
YouTube - Barnaba - Nabembelezwa
Nilibembelezwa nilipokuwa mtoto mdogo since then sijawahi kubembelezwa l.o.l
Mambo.....
Anaweza akatokea hapa nakuanza kutoa mauzoefu yetu ya ndani ikawa shida. Nitafutie basi maana mimi PM haziendi kwake
Obuntu habari yako?? Umenionea BE???