Kila siku Najiuliza Sipati Jibu

Kila siku Najiuliza Sipati Jibu

mh...................... such a romantic thread!!!!!....................... so sweet!!!!!!!!.
 
Nimekuwa na hili swali kwa muda mrefu sana.

Najiuliza "Hivi kwanini napenda sana kubembelezwa"???? NA kubembeleza????

Mwanzoni Husband alikuwa anashindwa ila siku hizi ha kila mara anafanya hivyo.

Ni kudeka, au ni kitu gani. Wakati nikiwa msichana mdogo nikiwa na mvulana usiponibembeleza nakupiga chini ila ukinibembeleza aahhh sikuachi.

Tena napenda yale maneno mazuri matamu matamu (Na mimi huwa nayatumia kwa sana) Baby, Darling, My Love, Sweetie, nk

NB: BE marufuku kuchangia hapa

mbona hujaniambia ulishampata BE? mwenzio nipo busy kumtafuta!
 
sasa mbona unasema asichangie? wewe unatuzuga tu, umempa ban JF nadhani

Anaweza akatokea hapa nakuanza kutoa mauzoefu yetu ya ndani ikawa shida. Nitafutie basi maana mimi PM haziendi kwake
 
Nilibembelezwa nilipokuwa mtoto mdogo since then sijawahi kubembelezwa l.o.l

Pole sana aisee ha hubembelezwi hata kidogo my darling pole na kazi vipi umeshindaje leo!!! Ha ha ha natafuta sababu ya kuongeza speed ya kugonga thanks
 
Anaweza akatokea hapa nakuanza kutoa mauzoefu yetu ya ndani ikawa shida. Nitafutie basi maana mimi PM haziendi kwake

Mimi bwana huko kwenye PM sikuhusudu, tumsubiri tu hapa uwanjani anaweza akatokea
 
Back
Top Bottom