Maria Roza
JF-Expert Member
- Apr 1, 2009
- 6,803
- 1,601
Je wewe ulishawahi kubembelezwaaaa...........mwenzio mimi nilishawahi kubembelezwa aaa ... aaaa kumbembelezwaaa....eeeh kumbembelezwaaa....""""" DA kwa mwanaume yeyote anaecare na kupenda, lazima tu nae abembeleze... hata me huwa nadeka kweli... always sikui kwake.
Mie nabembelezwa ile mbaya dear
Mie nabembelezwa ile mbaya dear
Banned, Ulitembelea mitaagani mydear mpaka wane 'ku-choma' Najua utaisoma ila huwezi kujibu, naomba kifungo kiwe kifupi saaana. i will miss you..
Nakujua kote huko,kongo,mnala wa voda,ibinza mata,ibadakul,but ujanambia uko hapa au?<br /><br />
<br /><br />
Kokudo unakujua maganzo, shybush, utemini, songwa, kolandoto kwa dr kiberiti wewe. Habari ya ngokoro majengo/matope?
Hayo maneno yoote uliyotaja ni ya kitapeli njoo Sinza utapata hata ambayo huyajui, kazi ikiisha unatolewa nduki.
Na kule Bashnet,Bashay,Dongobesh,Mbulumbulu,Kakonko,Nyakanazi,Nyakahura je wapakumbuka?Nakujua kote huko,kongo,mnala wa voda,ibinza mata,ibadakul,but ujanambia uko hapa au?
Na kule Bashnet,Bashay,Dongobesh,Mbulumbulu,Kakonko,Nyakanazi,Nyakahura je wapakumbuka?
Wewe nawewe wakwetu nini??? Daudi, katesh, sanu kumbe tuko wengi
Mwanamke kudeka hahha safi sn
Tunafanya saaana tu sie tuliofundwa basi tu huwa hamzikubali, mi napenda pale tumegombana ugomvi mkubwa halafu nabembelezwa jamani, halafu mnaishia mahala fulani, halafu mi naendelea tu kulia haieleweki nalilia ugomvi au muendelezo. mhhhh mapenzi matamu jamani
Inaonekana wewe ni mwangaliaji mzuri sana wa hizi sinema za kisasa za wafilipino na watu wa latin Amerika. Nahisi zimekuathiri kisaikolojia.