Kila siku Najiuliza Sipati Jibu

Kila siku Najiuliza Sipati Jibu

Mimi bwana huko kwenye PM sikuhusudu, tumsubiri tu hapa uwanjani anaweza akatokea

Ha ha ha haya bana ngoja tumsubiri.

Obuntu ananiambia eti amekuwa teja wa mapenzi sijui mimi sizijui nyimbo hizo

Nibebee ami nikuonyeshe penzi, jamani nyimbo ni nyingi sana. mapenzi yanataka nafasi, nibembeleze nikubembeleze ati

Nimekuwa na hili swali kwa muda mrefu sana.

Najiuliza "Hivi kwanini napenda sana kubembelezwa"???? NA kubembeleza????

Mwanzoni Husband alikuwa anashindwa ila siku hizi ha kila mara anafanya hivyo.

Ni kudeka, au ni kitu gani. Wakati nikiwa msichana mdogo nikiwa na mvulana usiponibembeleza nakupiga chini ila ukinibembeleza aahhh sikuachi.

Tena napenda yale maneno mazuri matamu matamu (Na mimi huwa nayatumia kwa sana) Baby, Darling, My Love, Sweetie, nk

NB: BE marufuku kuchangia hapa

:decision::rain::blah::spider::usa2:

to my experience hiyo ni tabia ya wanawake wote, siyo wewe tu da, kama watakuwa wakweli wataandika hapa.. Mnataka hata mnapofanya kosa msiambiwe kwa ukali... Duu mapenzi kazi kwelikweli..:a s 13:..

na hata wakikosea watatafuta kosa la miaka iliyopita la kukubandikia ili mwisho uombe msamaha...

na hata wakikosea watatafuta kosa la miaka iliyopita la kukubandikia ili mwisho uombe msamaha...

Seto uzoefu mzuri sana huu

DA, Ngoja nifuatilie ratiba ya ngoma Kisemvule na Kibiti halafu nita mualika.. tartiiiiib darasa linaanza..

Huwa unapiga ngoma nn?

Haaaaa nilikuwa wapi jamani watu wanabembelezana huku? mapenzi ya kubembelezana huwa yananoga sana ila ndio yasilemee upande mmoja

Back
Top Bottom