Kila siku nakaa natafakari matendo na vitendo vya mtu mweusi unabaki unajiuliza hawa viumbe akili zao ziko wapi?

Pantosha

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
869
Reaction score
1,282
Kila siku nakaa natafakari matendo na vitendo vya mtu mweusi unabaki unajiuliza hawa viumbe akili zao ziko wapi?

Leo watu wamefurahi sana kuchangia na kuchangiwa. Mabilioni ya pesa yamechangishwa kukiunga mkono chama.

ILA SISHANGAI

Watu ambao kila kukicha wanaomba misaada kwa ajili ya vyandarua, madawati, gloves, dawa, misaada ya kufanya utafiti, visima vya maji, vyoo vya shule, madarasa, vitabu, nk.

Watu weusi ndivyo walivyo.
 
Ni mtihani mkubwa sana kuwa mbongo aisee kuliko hata mitihani yenyewe
 
Kila siku nakaa natafakari matendo na vitendo vya mtu mweusi unabaki unajiuliza hawa viumbe akili zao ziko wapi?

Leo watu wamefurahi sana kuchangia na kuchangiwa. Mabilioni ya pesa yamechangishwa kukiunga mkono chama.

ILA SISHANGAI

Watu ambao kila kukicha wanaomba misaada kwa ajili ya vyandarua, madawati, gloves, dawa, misaada ya kufanya utafiti, visima vya maji, vyoo vya shule, madarasa, vitabu, nk.

Watu weusi ndivyo walivyo.
Kugeneralize kusema watu weusi wana shida ni uvivu wa kufikiria kisa chuki zako dhidi ya CCM
Wewe umeona watu weusi wote wa Tanzania wamefurahi, au ni hao machawa wa Samia pekee?
Kwa nini utumie machawa ku generalise na kujudge watu weusi wote? Msituhusishe kwenye upumbavu wenu
 
IMG-20250812-WA0004.jpg
 
wewe mwezangu ni mweupe au Kinjani? Ajidhaniaye kasimama aangalie asianguke.
 
Kugeneralize kusema watu weusi wana shida ni uvivu wa kufikiria kisa chuki zako dhidi ya CCM
Wewe umeona watu weusi wote wa Tanzania wamefurahi, au ni hao machawa wa Samia pekee?
Kwa nini utumie machawa ku generalise na kujudge watu weusi wote? Msituhusishe kwenye upumbavu wenu
Unachokiona kimefanywa na ccm and Co, ni reflection ya tabia halisi ya mtanzania. Yaani ili uipime jamii fulani ni lazima utafute sample,na sample yenyewe ndio ccm.

Sad truth, hawa ndio typical watanzania/waafrika.
 
Kila siku nakaa natafakari matendo na vitendo vya mtu mweusi unabaki unajiuliza hawa viumbe akili zao ziko wapi?

Leo watu wamefurahi sana kuchangia na kuchangiwa. Mabilioni ya pesa yamechangishwa kukiunga mkono chama.

ILA SISHANGAI

Watu ambao kila kukicha wanaomba misaada kwa ajili ya vyandarua, madawati, gloves, dawa, misaada ya kufanya utafiti, visima vya maji, vyoo vya shule, madarasa, vitabu, nk.

Watu weusi ndivyo walivyo.
Mt mweusi ni masalia ya mwisho mwisho kwenye Uumbaji
 
Mtu mweusi abebeki, hata akitokea miongoni mwao mtu wa kujitolea; watamtukana na kumuua.

CCM ya Magufuli kwa mwaka ilikuwa inakusanya tsh 34 billion kutoka kwenye miradi yake. Na ilisha achana kabisa kutegemea wafanyabiashara.

Yaani uwa simuelewi pale mtoto wa maskini anapomtunaga Magufuli.

Bara la Africa sio bure ni cursed, ukienda kotę upuuzi wetu unafanana.
 
Kila siku nakaa natafakari matendo na vitendo vya mtu mweusi unabaki unajiuliza hawa viumbe akili zao ziko wapi?

Leo watu wamefurahi sana kuchangia na kuchangiwa. Mabilioni ya pesa yamechangishwa kukiunga mkono chama.

ILA SISHANGAI

Watu ambao kila kukicha wanaomba misaada kwa ajili ya vyandarua, madawati, gloves, dawa, misaada ya kufanya utafiti, visima vya maji, vyoo vya shule, madarasa, vitabu, nk.

Watu weusi ndivyo walivyo.
kwa kuwa wewe ni mtu mweupe huwezi juwa akili zetu weusi ziko wapi....ila nauhakika zako ziko mataqoni😀🤝
 
Kila siku nakaa natafakari matendo na vitendo vya mtu mweusi unabaki unajiuliza hawa viumbe akili zao ziko wapi?

Leo watu wamefurahi sana kuchangia na kuchangiwa. Mabilioni ya pesa yamechangishwa kukiunga mkono chama.

ILA SISHANGAI

Watu ambao kila kukicha wanaomba misaada kwa ajili ya vyandarua, madawati, gloves, dawa, misaada ya kufanya utafiti, visima vya maji, vyoo vya shule, madarasa, vitabu, nk.

Watu weusi ndivyo walivyo.
Juzi clubhouse kuna mwanamama alisema Kuna shule Dar alienda watoto wanakaa kwenye mifuko chini ..wanabeba tumfuko twa kukalia hii nch bora ichomwe moto au tupate floods tuanze upya
 
Back
Top Bottom