Kila siku nakaa natafakari matendo na vitendo vya mtu mweusi unabaki unajiuliza hawa viumbe akili zao ziko wapi?

Kila siku nakaa natafakari matendo na vitendo vya mtu mweusi unabaki unajiuliza hawa viumbe akili zao ziko wapi?

Mkuu una lipa kodi kwa wakati?
Kodi ndio maendeleo ya taifa lako
Michango ya vyama kila chama kinafanya
Au wamevunja sheria
Hua hamna hoja zaid ya kutoa lawama tuh
Hii mada inakuzidi upeo. Subiri ubishani wenu kwenye yanga na simba, Man U na Man City na Arsenal.
 
Nenda America, Europe, Asia, Caribbean, Australia au popote pale, Mtu mweusi ndio anaongoza kwa kuteseka.

Argentina ilifutilia mbali kizazi cha watu weusi.
Watu weusi watakuepo kwa ajili ya burudani inayotumia minguvu na siyo akili mingi. Kwenye angle hiyo Naona tupo vizuri. Tofauti na hapo hata mimi ningeunga mkono hoja ya kuwapukutisha wote.
 
Tamaa zilizopitiliza, wivu, roho mbaya, ubinafsi, na kujiona miungu watu ni tatizo kubwa saana kwenye bara la afrika na watanzania kiujumla
Bara la afrika linaamini katika kutenda kwa mtu mmoja mmoja na si mifumo imara na ya kudumu ili kudhibiti hila, tamaa, na madaraka mabaya ya watu.
Lakini tunasahau watu tunapita ila mifumo mizuri na madhubuti ni msaada mkubwa wa kubadilisha bara la Afrika. Viongozi wetu hawanaga kabisa mawazo kama hayo.
Hakika tuna safari ndefu saaana
Viongozi wanatokana na wananchi. So wao ni sample ya wananchi wote. Tunajuana hata mtaani huku, hakuna utofauti. Ukienda vyuoni, akili zimeganda kabisaaa
 
Mara ngapi watu wanafanya marathon kuchangia hayo mambo?
Kila jambo na wakt wake
Unajua kiasi cha juu kabisa kilichopatina kwenye marathon?? Mngekuwa serious na maendeleo ya nchi kama mlivyo serious na kusaka madaraka Africa ingekuwa mbali sana kimaendeleo. Ila kwa kuwa maendeleo siyo ajenda yenu, sishangai kuwaoneni mkitilia mkazo mambo ambayo siyo ya msingi
 
Kwa akili zenu hta rais afanye vipi bdo mtampinga tuh
Magu alitetea wamachinga bdo akawa anapingwa na wapinzani
Samia kawatoa wamachinga na kuwapa maeneo bdo mna mmpinga
Mnataka nn
Yuko wapi magu. Ukitafakari kwa upana hilo jambo, utajua kinachotakiwa ni nini
 
Harafu wanajitokeza kuchangia Uchaguzi badala ya kuchangia Elimu au afya kwa watu wanaopata tabu huko Hospital..
Watu wanaopata tabu Wana mchango gani katika sehemu ya tulipotoa fungu la kumi letu?
 
Kila siku nakaa natafakari matendo na vitendo vya mtu mweusi unabaki unajiuliza hawa viumbe akili zao ziko wapi?

Leo watu wamefurahi sana kuchangia na kuchangiwa. Mabilioni ya pesa yamechangishwa kukiunga mkono chama.

ILA SISHANGAI

Watu ambao kila kukicha wanaomba misaada kwa ajili ya vyandarua, madawati, gloves, dawa, misaada ya kufanya utafiti, visima vya maji, vyoo vya shule, madarasa, vitabu, nk.

Watu weusi ndivyo walivyo.
Usilaumu dalili,
Hii Hari unayoionesha, ya, kuchukia weusi, wenzio,, ni, dalilli kuwa, na, wewe una shida,
Je mzungu ana IQ, kuliko mtu mweusi? Sio kweli.
Je viongozi, weusi, ndio pekee wanaoziharibu nchi zao? Sio kweli,
Hata, wa Afrika, wapo, wenye akili kama, Wrong musk, au, Zuckerberg,
M bongo Fernandez founder wa NALA, Dangote, Dr Carson bingwa wa kutenganisha mapacha walioungana,.
Ndio, tuna watu waovyo kama Samia, kikwete, hata kwa, wazungu wapo wabovu,Adolf Hitler, Slobodan Milosovic,,
Mambo mengine sio madogo kama unavyoyaona,
Nchi nyingi za, Africa, richa ya, kuwa na ubadhirifu, rushwa,nchi kubwa huwa zinazipa, Mashariti magumu, na vikwazo,
Angalia Israel inavyofanya mauaji, inakingiwa kifua na USA, Ulaya, yote china, Russia zinaishia kutoa matamko, kwanini zisipeleke majeshi kuwalinda wapalestina! Zinaiogopa America! Kama, ulaya wanafyata, sembuse wa Afrika,

Viongozi wetu huakisi, tabia zetu, wajumbe wanapokea rushwa ya kilaza babu tale,wanamptisha awe mbunge, wanamtosa Dr/Prof wa chuo kisa, Hana pesa,! Unapeleka kilaza bungeni, ni kupiga meza tu! Kosa, la, na ni!
 
Halafu Jk na Gsm yake anachangia 10 billions kwenye kampeni kwanini wasingechangia vitu jamii wahitaji au uzalishaji, sio bure kama nchi inahitaji kuombewa
Sasa akichangia kw watoto wetu yeye atapata faida gani je Wauza vitumbua na Mihogo wanaweza kumsamee kodi au kumpa Maeneo ya wazi?
 
Usilaumu dalili,
Hii Hari unayoionesha, ya, kuchukia weusi, wenzio,, ni, dalilli kuwa, na, wewe una shida,
Je mzungu ana IQ, kuliko mtu mweusi? Sio kweli.
Je viongozi, weusi, ndio pekee wanaoziharibu nchi zao? Sio kweli,
Hata, wa Afrika, wapo, wenye akili kama, Wrong musk, au, Zuckerberg,
M bongo Fernandez founder wa NALA, Dangote, Dr Carson bingwa wa kutenganisha mapacha walioungana,.
Ndio, tuna watu waovyo kama Samia, kikwete, hata kwa, wazungu wapo wabovu,Adolf Hitler, Slobodan Milosovic,,
Mambo mengine sio madogo kama unavyoyaona,
Nchi nyingi za, Africa, richa ya, kuwa na ubadhirifu, rushwa,nchi kubwa huwa zinazipa, Mashariti magumu, na vikwazo,
Angalia Israel inavyofanya mauaji, inakingiwa kifua na USA, Ulaya, yote china, Russia zinaishia kutoa matamko, kwanini zisipeleke majeshi kuwalinda wapalestina! Zinaiogopa America! Kama, ulaya wanafyata, sembuse wa Afrika,

Viongozi wetu huakisi, tabia zetu, wajumbe wanapokea rushwa ya kilaza babu tale,wanamptisha awe mbunge, wanamtosa Dr/Prof wa chuo kisa, Hana pesa,! Unapeleka kilaza bungeni, ni kupiga meza tu! Kosa, la, na ni!
Soma tena ulichokiandika na paragraphs zako za mwisho uone ulivyohitimisha. Unakubaliana na mimi kuwa watu weusi hawana akili. Viongozi wote uliowataja kutoka mabara ya wazungu wanapigania maslahi mapana ya nchi zao. Haya, nyie???
 
Mtu mweusi alitakiwq kuwekwa kama sio zoo basi makumbusho.

Hakustahili kuchukuliwa kama binadamu
 
Kila siku nakaa natafakari matendo na vitendo vya mtu mweusi unabaki unajiuliza hawa viumbe akili zao ziko wapi?

Leo watu wamefurahi sana kuchangia na kuchangiwa. Mabilioni ya pesa yamechangishwa kukiunga mkono chama.

ILA SISHANGAI

Watu ambao kila kukicha wanaomba misaada kwa ajili ya vyandarua, madawati, gloves, dawa, misaada ya kufanya utafiti, visima vya maji, vyoo vya shule, madarasa, vitabu, nk.

Watu weusi ndivyo walivyo.
Unyani haujawatoka.
 
yeah kwa wenye uwezo wanakula bata huko lkn waislamu daraja la chini no chance, wote wanakimbilia western Christian countries huko angalau kama siyo wao basi watoto wao wanaweza kupanda daraja …
Sasa utakula bata kama hauna uwezo? Kama hauna uwezo hauna uwezo tu haijalishi ni muislamu au mkristo.
 
Watu wanaopata tabu Wana mchango gani katika sehemu ya tulipotoa fungu la kumi letu?
Masikini huwa hawajui kuwa Kuna watu wanapata tabu kwa sababu ya roho mbaya tu ila matajiri wanajua kuwa wapo wanaopata tabu na mchango wao katika jamii..
 
Mna hoja za kijinga afu mnataka kuonewa huruma
Hii ni dalili ya afya ya akili
Njoo tukague engine za Scania mazee achaa kujiona ni bora wakati ni msaka nyoka tu.
20250813_131739.jpg
 
Back
Top Bottom