Kila siku nakaa natafakari matendo na vitendo vya mtu mweusi unabaki unajiuliza hawa viumbe akili zao ziko wapi?

kwa kuwa wewe ni mtu mweupe huwezi juwa akili zetu weusi ziko wapi....ila nauhakika zako ziko mataqoni😀🤝
Mtu aliekosa malezi ya wazazi wawili anajulikana kwa watu waliopata usia kutoka kwa mzazi kuwa usitukane watu hovyo hata kama hauwajui ni ngumu sana kufanya kama unachofanya mazee sio kwamba hatujui kutukana ila malezi yanakulazimisha kuishi katika mfumo fulani pole sana mzala hayo ni madhara ya kulelewa na mzazi mmoja..
 
Yaani wewe ni walewale Tu, tena wewe ndiyo balaa zaidi
 
Huku mchango wa tofali la ubingwa, kule harambee 100m. Hakika tumegeuzwa mazuzu.
Mwamposa nae
 
Juzi clubhouse kuna mwanamama alisema Kuna shule Dar alienda watoto wanakaa kwenye mifuko chini ..wanabeba tumfuko twa kukalia hii nch bora ichomwe moto au tupate floods tuanze upya
Halafu Jk na Gsm yake anachangia 10 billions kwenye kampeni kwanini wasingechangia vitu jamii wahitaji au uzalishaji, sio bure kama nchi inahitaji kuombewa
 
haitoshi.....akili zenu weupe zipo wapi? MATAQONI tu
 
Kwa nini utumie nafsi ya tatu, unajiengua wewe utadhani wewe si mweusi, au mwenzetu ni Caucasian?
 
Ipo shule ya secondary hapa dar jirani yangu.
Mwanafunzi akifanya kosa lolote adhabu yake ni tofali 5-10 kwa ajili ya kuongeza vyumba vya darasa na ukuta wa shule.
Shule ina wanafunzi 1600 na waali wazio zidi 30.

Hatuwezi kusikia imepokea mchango au msaada kutoka popote, na sio kwamba watu hawana uwezo.
 
Unachokiona kimefanywa na ccm and Co, ni reflection ya tabia halisi ya mtanzania. Yaani ili uipime jamii fulani ni lazima utafute sample,na sample yenyewe ndio ccm.

Sad truth, hawa ndio typical watanzania/waafrika.
Na Angekuwa Kwenye Hizo Nafasi Walizo Nazo Hao Anaowachukia....Angalifanya Kama Wao Na Si Ajabu Yeye Ndio Angefanya Zaidi....
 
Sishangai coz watu weusi wote wapo hivyo dunia nzima.
 
Hizo tabia za kishenzi za hao wanasiasa ndiyo tabia halisi za waTanzania,njoo huku mtaani uone wananchi walivyo wapumbavu,roho mbaya,husuda na chuki.yaani kuwatetea waTanzania naona ni kupoteza muda sijawahi kuona watu wapumbavu kama hawa wananchi wa Tanzania.
 
unachanganya rangi ya mtu na uislamu, tatizo la tanzagiza na nchi nyingine za kiafrika ni uislamu, angalia patterns tu wakati wa Nyerere, Mkapa na Magufuli vs Mwinyi, Kikwete na samia utaona patterns.

uislamu haujali mtu wa chini, uislamu ni dini ya mtwana na mtumwa na hakuna kati kati yaani middle class, na ndiyo maana muslims enmass hukimbilia western countries na siyo muslim countries kwa sababu wanataka better lives for their children ambayo inawezekana tu in western Christian countries …
 
Usiseme "watu wehusi" sema CCM
 
Duh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…