Kila siku nakaa natafakari matendo na vitendo vya mtu mweusi unabaki unajiuliza hawa viumbe akili zao ziko wapi?

Tamaa zilizopitiliza, wivu, roho mbaya, ubinafsi, na kujiona miungu watu ni tatizo kubwa saana kwenye bara la afrika na watanzania kiujumla
Bara la afrika linaamini katika kutenda kwa mtu mmoja mmoja na si mifumo imara na ya kudumu ili kudhibiti hila, tamaa, na madaraka mabaya ya watu.
Lakini tunasahau watu tunapita ila mifumo mizuri na madhubuti ni msaada mkubwa wa kubadilisha bara la Afrika. Viongozi wetu hawanaga kabisa mawazo kama hayo.
Hakika tuna safari ndefu saaana
 
Unachokiona kimefanywa na ccm and Co, ni reflection ya tabia halisi ya mtanzania. Yaani ili uipime jamii fulani ni lazima utafute sample,na sample yenyewe ndio ccm.

Sad truth, hawa ndio typical watanzania/waafrika.
Sure. Viongozi ni reflection ya wananchi maana wanatoka kwenye jamii hiyo hiyo.
 
Inatafakarisha sana.
 
wazungu wa west walioko dubai ni high class klk waislamu wahamiaji ktk afrika, pakistani, india, siria, irak, moroko & co. …
Yeah hao wazungu high class wanaenda kula bata huko kwa waislamu.
 
Sisi kwenye evolution ni neanderthals bado hatujawa homosapiens ngedere na kima ni wengi sana afrika
 
Mtu mweusi tuna laana sio siri

"Popote utakapomuona Mtu Mweusi lazima utaona pana matatizo, kitendo tu Cha kuwa Mtu Mweusi chenyewe tu peke yake tayari ni tatizo."

Pieter W. Botha, Rais wa zamani wa Afrika Kusini enzi za Utawala wa Ubaguzi wa rangi wa Makaburu.
 
Tungekuwa tunafanya harambee ya kuchangia dawa kama hivi, ila ndo hivyo hatuna akili hiyo
 
Mkuu una lipa kodi kwa wakati?
Kodi ndio maendeleo ya taifa lako
Michango ya vyama kila chama kinafanya
Au wamevunja sheria
Hua hamna hoja zaid ya kutoa lawama tuh
 
"Popote utakapomuona Mtu Mweusi lazima utaona pana matatizo, kitendo tu Cha kuwa Mtu Mweusi chenyewe tu peke yake tayari ni tatizo."

Pieter W. Botha, Rais wa zamani wa Afrika Kusini enzi za Utawala wa Ubaguzi wa rangi wa Makaburu.
Nenda America, Europe, Asia, Caribbean, Australia au popote pale, Mtu mweusi ndio anaongoza kwa kuteseka.

Argentina ilifutilia mbali kizazi cha watu weusi.
 
Yeah hao wazungu high class wanaenda kula bata huko kwa waislamu.

yeah kwa wenye uwezo wanakula bata huko lkn waislamu daraja la chini no chance, wote wanakimbilia western Christian countries huko angalau kama siyo wao basi watoto wao wanaweza kupanda daraja …
 
Harafu wanajitokeza kuchangia Uchaguzi badala ya kuchangia Elimu au afya kwa watu wanaopata tabu huko Hospital..
Mara ngapi watu wanafanya marathon kuchangia hayo mambo?
Kila jambo na wakt wake
 
Juzi clubhouse kuna mwanamama alisema Kuna shule Dar alienda watoto wanakaa kwenye mifuko chini ..wanabeba tumfuko twa kukalia hii nch bora ichomwe moto au tupate floods tuanze upya
Tafuta ela changia madawati shule hio.
Vinginevyo hoja yko zaifu
 
Mna hoja za kijinga afu mnataka kuonewa huruma
Hii ni dalili ya afya ya akili
 
Kwa akili zenu hta rais afanye vipi bdo mtampinga tuh
Magu alitetea wamachinga bdo akawa anapingwa na wapinzani
Samia kawatoa wamachinga na kuwapa maeneo bdo mna mmpinga
Mnataka nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…