Kila siku nakaa natafakari matendo na vitendo vya mtu mweusi unabaki unajiuliza hawa viumbe akili zao ziko wapi?

Tafuta ela changia madawati shule hio.
Vinginevyo hoja yko zaifu
Kuandika tu kunashinda eti ela mara zaifu nenda ukasome Elimu ya watu wazima ndio uje kujenga hoja hapa mazee ulikimbia umande huko..
 
Kuandika tu kunashinda eti ela mara zaifu nenda ukasome Elimu ya watu wazima ndio uje kujenga hoja hapa mazee ulikimbia umande huko..
Hii comment inamfaa sana. Kuna watu wengine wanatakiwa watoe comments kwenye masuala ya yanga na simba/Man U na Man City au arsenal tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…