Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,517
- 3,316
Mmh!!! Wakatoliki kuangama hata kwa binaadamu wenzao na kuomba msamaha ni jambo la kawaida sana, unakuta padri wa kisukuma iko kwenye kachumba kadogo anachungulia kwenye kaditisha kadogo kondo moja amepiga magoti anasema siri za madhabi yake yote na anaomba msamaha kwake,......kuamini ukotoliki ni laxima ujizome data kwanzaAsalam aleikhum wa rahma tulah wabalaqatuh!
Kwa kweli nakosa la kusema. Nimeamini mfa maji heshi kutapata tapa. Imefikia tunatuma watu wakatubu na kupiga picha na Papa? Huyu huyu Papa ambaye miaka na miaka tunamtukana?
Tena ni beberu hawa. Haya mabeberu yametuweka sehemu mbaya sana. Watu wa huku Makunduchi, Mchamba wima wanashangaa sana kitendo hicho cha kufilimbwa kiasi kikubwa.
Mbona sisi hatuna msimamo wajameni? Why? Kwanini? Tunashindwaje kuwa na msimamo? Mbona sasa tunahangaika sana na Mfumo Kristo? Why? Kwanini?
Kwenye website yao wao sijaona kama wamepost au kutoa tamko. Ni sisi ndo tunahangaika kutafuta uhalali wa kikharamu. Kharamu twataka iwe halali kweli? Haya ni masumbuko ya dunia.
Mmh!!! Wakatoliki kuangama hata kwa binaadamu wenzao na kuomba msamaha ni jambo la kawaida sana, unakuta padri wa kisukuma iko kwenye kachumba kadogo anachungulia kwenye kaditisha kadogo kondo moja amepiga magoti anasema siri za madhabi yake yote na anaomba msamaha kwake,......kuamini ukotoliki ni laxima ujizome data kwanza
Utakuwa shekhe pilau wewe bila shaka.Walioenda kumwona Papa walikuwa wakatoliki na walitumwa na TEC? SERIKALI YA KIPUUZI INAWEZA TUMA WATU WAKATUBU KWA PESA ZA KODI
the same as islamic, afadhali ukatoliki kuna akili ya ziada kung'amua mamboMmh!!! Wakatoliki kuangama hata kwa binaadamu wenzao na kuomba msamaha ni jambo la kawaida sana, unakuta padri wa kisukuma iko kwenye kachumba kadogo anachungulia kwenye kaditisha kadogo kondo moja amepiga magoti anasema siri za madhabi yake yote na anaomba msamaha kwake,......kuamini ukotoliki ni laxima ujizome data kwanza