Kila tukiwa kati kati ya tendo huanza kusema siri zake

Kila tukiwa kati kati ya tendo huanza kusema siri zake

Gemini Are Forever

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2019
Posts
1,508
Reaction score
2,619
Kwema?

Ni hivi, nipo ndani ya uhusiano kwa miaka mitatu sasa. Tangu nianze uhusiano mwenza wangu amekuwa huru na muwazi sana kwangu. Uwazi naouzungumzia ni kwamba, kila aliyekuwa akimtongoza alikuwa ananiambia kila kitu kwa hiari yake bila mimi kumuuliza na aliendelea hivyo ndani ya miaka miwili.

Kwa miez kadhaa sasa nimeona mabadiliko yenye udanganyifu ndani yake. Nimekuwa nikiona vitu anavyofanya, nikijaribu kumuuliza anasema tofauti na ukweli ninaoujua mimi (anadanganya) na anatongozwa (nathibitisha) lakini hasemi tena kama mwanzo ila badala yake amekuwa anaongea au kutoa siri ya yale aliyonidanganya tukiwa kati kati ya raha ya tendo.

Yaan naweza kuwa namuandaa, naanza game hadi pale raha zikikolea ndo huanza kufunguka hata nisiyoyajua mwanzo mwisho bila mim kumuuliza lakini akifika kileleni hulegea ghafla na hawezi tena kuongea chochote.

Je, hizi ni dalili gani? Kuna ukweli hapo au anasema tu kutokana na raha? Je, mwanamke kukuambia siri bila kuulizwa ni uaminifu au kuchorana akili?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]khaaa!!mbona kutoboa siri jaman
 
Mtiririko wa mada za mahusiano humu jamvini inaonyesha kuwa vijana wa kiume wa nyakati hizi upeo wao kufikiria na kuchanganua mambo uko chini sana.....

Ni dhahiri kuna tatizo mahali kwenye akili za vijana....maana muda mwingine tatizo analokuja nalo kuomba ushauri mpaka unajiuli kuwa mtu huyu kwa akili hizi aliwezaje kuingia kwenye ndoa achilia mbali kwenye mahusiano........

Ndio maana migogoro ya ndoa na mahusiano imekuwa mingi sana kwa kuwa vijana wengi wamepoteza uwezo wa kiakili wa kutatua hata changamoto ndogo zinazohitaji matumizi madogo ya akili.......

Tujisahihishe......
 
Back
Top Bottom