Kila uchao ''magaidi,'' wanafutiwa kesi. Hili limekaaje?

Hawa ndio watuhumiwa pekee ambao ni waislam. Mtu mwingine ametuhimiwa ugaidi akiw ank Mkristo ni Freeman Mbowe tu.

Hii ni tangu ugaidi uanze duniani Mkristo kuitwa Gaidi🤣🤣🤣
 
Magaidi wako madarakani
 
Mzeee... Siku moja moja bas mtete bas hata mbowe... Au kwa mawazo yako mbowe nae ni gaidi ??
 
Takhbiiiirrrr
 
Jamhuri imeahirisha mashtaka yao, Nolle prosequi ....muda wowote inaweza kukiwasha, halafu kufutwa kwa mashtaka kutawafanya sheikh ponda na Mohamed saidi kufa njaa, wataomba Hela za wafadhili kwa ajili ya nini sasa
 
Hawa ndio watuhumiwa pekee ambao ni waislam. Mtu mwingine ametuhimiwa ugaidi akiw ank Mkristo ni Freeman Mbowe tu.

Hii ni tangu ugaidi uanze duniani Mkristo kuitwa Gaidi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kunahaja walutheri kuungana kwakweli kuishitua ssm iache udwazi

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Kwa Ushauri..., Kile walichokuwa wanakifanya hadi kikapalekea wao kudhaniwa ni Magaidi waachane nacho kisije kurudia tena wao kushikwa hence sisi kama Taifa kukosa nguvu kazi na Kodi zetu kupelekea kuwalisha huko Lupango.....

Unamweka mtu Rumande Miaka Saba kwa kudhania. Kama kila mtu angekuwaa anakamatwa kwa kudhania sijui nani angebaki salama.

Kwa kifupi, Ni uonevu tu wa serikali kwa raia wake, mtuhumiwa anawekwa Rumande miaka Saba halafu mwishoni anafutiwa makosa, hiyo Ni dhuruma mbaya Sana.
 
Na wote Hawa kwa majina yao,ni WA dini moja,walikamatwa wakati mkuu wa nchi ni WA dini tofsuti,aliyepo sasa hv ana dini kama wao,ameona awaachie,ila anawapa kesi za ugaidi WA dini tofauti,tutafika tu

No. Walikamatwa kipindi Cha kikwete.
 
Duuh watuhumiwa wote ni kina ninihii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…