Kila uchao ''magaidi,'' wanafutiwa kesi. Hili limekaaje?

Ugaidi ni ugaidi, si kuiba kuku. Ukiiba ofisini tutakuta cheque ta benki uliyogushi, inatosha, unahukumiwa. Kama cheque si yako unaachiwa. Ugaidi ni tofauti. Kina Adamoo walitumwa na Mbowe kumuua Ole Sabaya, tumeona tigopesa wakithibitisha. Ushahidi pekee uliobaki na maiti ya Ole Sabaya, kwa ushirikiano wa Polisi na Afande Urio wauaji wakakamatwa Rau club ya mbege wakielekea kwa Ole Sabaya kumuua. Kwa vile hakufa usiseme kesi ni ya kubumba ndiyo maana wanazudi kutafuta ushahidi hata miaka 10, ukiwwachua Ole Sabaya bado yupo si watamuua?LGF
LGF,7
Umechanganya kesi mbili tofauti.
Hii kesi ya Uislam wamekosa ushahidi kwa miaka saba na wameachiwa.

Walikamatwa kwa kudhaniwa ni magaidi.
 
Ndugu zanguni,
Kila uchao ''magaidi,'' wanafutiwa kesi.
Hili limekaaje?

Hawa hawakuwa ''magaidi?''

Bismillahir Rahmaanir Rahiim

SHURA YA MAIMAMU TANZANIA

DPP LEO TAREHE 01.03.2022 AMEWAFUTIA MASHTAKA WATUHUMIWA 15 WA UGAIDI.

Mkurugenzi wa Mashtaka amewafutia mashtaka ya Ugaidi watu 15, jijini Dar es Salaam leo. Watu hao ni pamoja na:

1. Sheikh Juma Yasin Ali. (PI 55/2015).
2. Ustadhi Abdalla Juma Omar (PI 55/2015) na -
3. Nassoro Said Amoor (PI 55/3015).

Wengine ni:
4. Ali Nassoro Swala (PI 32/2015).
5. Juma Zuberi Kitambi (PI 32/2015).
6. Rajabu Ali Magomba (PI 24/2015).
7. Hussein Mustafa Juma (PI 24/2015) na
8. Haruna Issa Nkuye (PI 24/2015).

Wengine ni:
9. Buheti Yusuf Buheti (PI 7/2016).
10. Seif Shaha Jongo (PI 6/2016).
11. Yusuf Issa Rajab (PI 7/2016) na
12. Hassan Bakari Mnele (PI 50/2015).

Wengine ni:
13. Ramia Shaaban Swaleh (PI 50/2015).
14. Abdul Majid Juma Ludima (PI 13/2016) na
15. Rashid Hassan Mitambo (PI 13/2016).

Katika mashauri hayo ambayo hayakupata kuzungumzwa ndani ya zaidi ya miaka saba, mkurugenzi alitamka mbele ya Jaji kuwa jamhuri haina nia ya kuendelea tena na mashauri hayo.

Ukiacha habari hii kwa ufupi Shura ya Maimamu tunaendelea kuratibu waliofutiwa mashtaka Arusha, Tanga na Mwanza jana na leo.

Ibrahimu Zuberi Mkondo
Msemaji wa Shura ya Maimamu Tz
0713118812

Kinachonisikitisha ni kuwa hii mada hapo chini nimeandika Kiingereza.
Hii ni mada niliwasilisha University of Ibadan, Nigeria mwaka wa 2006 katika kongamano kuhusu ugaidi:

Wengine ni magaidi haswa na majina yao!!, ni Yale Yale,Islamic terrorism ipo,kusema hakuna,ni kama mbuni kuficha kichwa kwenye mchanga,akifikili haonekani!
Whether Islam is terrorism,or is being used to justify terrorism,a means to an end!!,is none issue!!
Terrorism is real,state sponsored terrorism,religious terrorism(Islamic),
And these fundamentalist Islam it is either their way or the high way!!
 
Ukipingana na CCM wewe ni Gaidi!
 
hiki kinxgreza kimenitoa nje Mimi LY🤫
 
Jiulize Sasa kama kweli ni magaidi Kwa nini wafutiwe. Ila ujue siku moja waweza kuwa wewe
 
Sio jambo zuri,
Ila pia ni ukweli kwamba magaidi wengi wametoka upande huo. Mna kazi kubwa ya kufanya kuhakikisha vijana wenu hawawi radicalised na msimamo mkali wa dini
Yoda,
Kilichosababisha wakamatwe ni ule Uislam wao.
 
Back
Top Bottom