Una upumbavu ndani ya akili yako, usione kwa kuwa sio ndugu zako then unajibu hivi na elewa wale ni binadamu kama sisi na walikua ni suspects tu, haki zao zimeathiriwa na ukamataji usio wa haki, 7yrs jail sio 7days mkuu,muda mwingine tuonyeshe ubinadamu mbele sio itikadi zetu, hope's wanasheria wao wataufungulia mashitaka serikali kwa wrongful arrest na 7yrs waliyopoteza mahabusu.
Sawa mi mpumbavu, ila wakiianzisha zile harakati zao zilizowafanya kuwekwa korokoroni watarudi tena walikotoka. Utulivu huu unaletwa kwa hisani ya BAKWATA
Jitahidi kuwa mwelewa. Usishabikie Mambo usiyoyajua. Hawa hata kesi yao haijawahi kusikilizwa, Yani serikali haina haja ya kuendelea na kesi hivyo hawakuwa wafungwa. Tuwe na utu na raia wenzetu badala ya kushabikia ukatili was polisi.
Nchi hii udini umetawala hata kiongozi wa juu akiwa muislam atasakamwa sana hata Kikwete hadi kufikia hatua ya kuwaweka ndani baadhi ya hao wanaoitwa "magaidi" ilikuwa ni shinikizo tu kwamba asipokubali wale watuhumiwa wa *ugaidi" kuwekwa ndani basi wangemwambia hataki kwa sababu ni waislamu wenzake.
Na wote Hawa kwa majina yao,ni WA dini moja,walikamatwa wakati mkuu wa nchi ni WA dini tofsuti,aliyepo sasa hv ana dini kama wao,ameona awaachie,ila anawapa kesi za ugaidi WA dini tofauti,tutafika tu
Na wote Hawa kwa majina yao,ni WA dini moja,walikamatwa wakati mkuu wa nchi ni WA dini tofsuti,aliyepo sasa hv ana dini kama wao,ameona awaachie,ila anawapa kesi za ugaidi WA dini tofauti,tutafika tu
Yeye alifanya nin kipindi chote cha miaka sita aliowah kukaa madarakani kabla hajatwaliwa kuzimu? Halaf we kwan wew ni nani hasa mjane wa huyo jamaa? Au we ndo kidoti? Mbona unalia lia sana?
sheria ya ugaidi tanzania ni sheria ile ile iliyounda jeshi la polisi na GPO yao...kesi zote za ugaidi nchi hii lazima zitakuwa zinabuma maana walibadili maneno tu yaliyomo katika sheria ya jeshi la polisi na kusema ugaidi, ili kumfurahisha mmarekani. Na si ajabu ikiwa baadhi yao walipewa study tour guantanamo
Jamhuri imeahirisha mashtaka yao, Nolle prosequi ....muda wowote inaweza kukiwasha, halafu kufutwa kwa mashtaka kutawafanya sheikh ponda na Mohamed saidi kufa njaa, wataomba Hela za wafadhili kwa ajili ya nini sasa
Ndugu zanguni,
Kila uchao ''magaidi,'' wanafutiwa kesi.
Hili limekaaje?
Hawa hawakuwa ''magaidi?''
Bismillahir Rahmaanir Rahiim
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
DPP LEO TAREHE 01.03.2022 AMEWAFUTIA MASHTAKA WATUHUMIWA 15 WA UGAIDI.
Mkurugenzi wa Mashtaka amewafutia mashtaka ya Ugaidi watu 15, jijini Dar es Salaam leo. Watu hao ni pamoja na:
1. Sheikh Juma Yasin Ali. (PI 55/2015).
2. Ustadhi Abdalla Juma Omar (PI 55/2015) na -
3. Nassoro Said Amoor (PI 55/3015).
Wengine ni:
4. Ali Nassoro Swala (PI 32/2015).
5. Juma Zuberi Kitambi (PI 32/2015).
6. Rajabu Ali Magomba (PI 24/2015).
7. Hussein Mustafa Juma (PI 24/2015) na
8. Haruna Issa Nkuye (PI 24/2015).
Wengine ni:
9. Buheti Yusuf Buheti (PI 7/2016).
10. Seif Shaha Jongo (PI 6/2016).
11. Yusuf Issa Rajab (PI 7/2016) na
12. Hassan Bakari Mnele (PI 50/2015).
Wengine ni:
13. Ramia Shaaban Swaleh (PI 50/2015).
14. Abdul Majid Juma Ludima (PI 13/2016) na
15. Rashid Hassan Mitambo (PI 13/2016).
Katika mashauri hayo ambayo hayakupata kuzungumzwa ndani ya zaidi ya miaka saba, mkurugenzi alitamka mbele ya Jaji kuwa jamhuri haina nia ya kuendelea tena na mashauri hayo.
Ukiacha habari hii kwa ufupi Shura ya Maimamu tunaendelea kuratibu waliofutiwa mashtaka Arusha, Tanga na Mwanza jana na leo.
Ibrahimu Zuberi Mkondo
Msemaji wa Shura ya Maimamu Tz
0713118812
Kinachonisikitisha ni kuwa hii mada hapo chini nimeandika Kiingereza.
Hii ni mada niliwasilisha University of Ibadan, Nigeria mwaka wa 2006 katika kongamano kuhusu ugaidi:
Ugaidi ni ugaidi, si kuiba kuku. Ukiiba ofisini tutakuta cheque ta benki uliyogushi, inatosha, unahukumiwa. Kama cheque si yako unaachiwa. Ugaidi ni tofauti. Kina Adamoo walitumwa na Mbowe kumuua Ole Sabaya, tumeona tigopesa wakithibitisha. Ushahidi pekee uliobaki na maiti ya Ole Sabaya, kwa ushirikiano wa Polisi na Afande Urio wauaji wakakamatwa Rau club ya mbege wakielekea kwa Ole Sabaya kumuua. Kwa vile hakufa usiseme kesi ni ya kubumba ndiyo maana wanazudi kutafuta ushahidi hata miaka 10, ukiwwachua Ole Sabaya bado yupo si watamuua?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.