Kila uchao ''magaidi,'' wanafutiwa kesi. Hili limekaaje?

Sawa mi mpumbavu, ila wakiianzisha zile harakati zao zilizowafanya kuwekwa korokoroni watarudi tena walikotoka. Utulivu huu unaletwa kwa hisani ya BAKWATA
 
Wamrudie muumba wao, waache kilichosababisha wakamatwe.

Jitahidi kuwa mwelewa. Usishabikie Mambo usiyoyajua. Hawa hata kesi yao haijawahi kusikilizwa, Yani serikali haina haja ya kuendelea na kesi hivyo hawakuwa wafungwa. Tuwe na utu na raia wenzetu badala ya kushabikia ukatili was polisi.
 
Nchi hii udini umetawala hata kiongozi wa juu akiwa muislam atasakamwa sana hata Kikwete hadi kufikia hatua ya kuwaweka ndani baadhi ya hao wanaoitwa "magaidi" ilikuwa ni shinikizo tu kwamba asipokubali wale watuhumiwa wa *ugaidi" kuwekwa ndani basi wangemwambia hataki kwa sababu ni waislamu wenzake.
 
Na wote Hawa kwa majina yao,ni WA dini moja,walikamatwa wakati mkuu wa nchi ni WA dini tofsuti,aliyepo sasa hv ana dini kama wao,ameona awaachie,ila anawapa kesi za ugaidi WA dini tofauti,tutafika tu
Umekosea! Walikamatwa na JK!
 
Na wote Hawa kwa majina yao,ni WA dini moja,walikamatwa wakati mkuu wa nchi ni WA dini tofsuti,aliyepo sasa hv ana dini kama wao,ameona awaachie,ila anawapa kesi za ugaidi WA dini tofauti,tutafika tu
Jakaya mrisho kikwete ni dini tofauti kivipi?
 
Siyo Magufuli tena?

Na bado mtanena tu kwa lugha

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Yeye alifanya nin kipindi chote cha miaka sita aliowah kukaa madarakani kabla hajatwaliwa kuzimu? Halaf we kwan wew ni nani hasa mjane wa huyo jamaa? Au we ndo kidoti? Mbona unalia lia sana?
 
Hawa ndio watuhumiwa pekee ambao ni waislam. Mtu mwingine ametuhimiwa ugaidi akiw ank Mkristo ni Freeman Mbowe tu.

Hii ni tangu ugaidi uanze duniani Mkristo kuitwa Gaidi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbowe kakamatwa akiwa tayari keshasilimishwa na kupewa jina abubakar, kwa hapo siyo mkristo.
 
sheria ya ugaidi tanzania ni sheria ile ile iliyounda jeshi la polisi na GPO yao...kesi zote za ugaidi nchi hii lazima zitakuwa zinabuma maana walibadili maneno tu yaliyomo katika sheria ya jeshi la polisi na kusema ugaidi, ili kumfurahisha mmarekani. Na si ajabu ikiwa baadhi yao walipewa study tour guantanamo
 
Sasa kwanini wasidai fidia?
Unaachiwa halafu unakuwa dhalili tena kisa ulibambikiziwa kesi ukafungwa ukaachiwa


Au wameachiwa kwa masharti na vitisho?
 
Cha ajabu wakifutiwa hizo kesi wanaishukuru Serikali, sasa unajiuliuza walikuwa na kosa kweli serikali ikawahurumia?
 
Ufutaji unaofanyika sasa hivi ni njia ya kumuachia friimani mbouwee,ionekane ni muendelezo wa kusamehe magaidi
 
Jamhuri imeahirisha mashtaka yao, Nolle prosequi ....muda wowote inaweza kukiwasha, halafu kufutwa kwa mashtaka kutawafanya sheikh ponda na Mohamed saidi kufa njaa, wataomba Hela za wafadhili kwa ajili ya nini sasa
Chi...
Kaka haifai kukashifiana.
 
Jibu unalo kwamba amekuja wa dini yao ndio anawatoa kwa maana ya kwamba waliowafunga walikuwa wagalatia.

Si ndio hivyo au?
 
Tatizo lenu waislamu hakuna umoja, ukweli namkubali Sheikh Ponda ndiyo mtetezi wa waislam hawa wengine ni wachuuzi wa dini tu na siyo viongozi
Hakika namkubali sana...
 
Ndugu zanguni,
Kila uchao ''magaidi,'' wanafutiwa kesi.
Hili limekaaje?

Hawa hawakuwa ''magaidi?''
Ugaidi ni ugaidi, si kuiba kuku. Ukiiba ofisini tutakuta cheque ta benki uliyogushi, inatosha, unahukumiwa. Kama cheque si yako unaachiwa. Ugaidi ni tofauti. Kina Adamoo walitumwa na Mbowe kumuua Ole Sabaya, tumeona tigopesa wakithibitisha. Ushahidi pekee uliobaki na maiti ya Ole Sabaya, kwa ushirikiano wa Polisi na Afande Urio wauaji wakakamatwa Rau club ya mbege wakielekea kwa Ole Sabaya kumuua. Kwa vile hakufa usiseme kesi ni ya kubumba ndiyo maana wanazudi kutafuta ushahidi hata miaka 10, ukiwwachua Ole Sabaya bado yupo si watamuua?
 
Hata huku mtaani kuna magaidi hatari sana ya kisomali yameachiwa ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…