Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Habari ndugu zangu!
Kila mtu mwenye utimamu wa akili na viungo ni sharti ajitafutie ridhiki.
Wengi bado hawataki kubadilika hivyo hujikuta wanashindwa kusogea mbele kwa kasi.
Lazima ubadilike,
Zama hizi bado kuna mafundi simu wanaofosi kutengeneza simu kizamani, yaani hana computer, yeye huishia kupata tenda za kubadili mike, speaker na vioo tu.
Very locally.
Zama hizi fundi magari huna diagnosis machine, kazi kuhisi ugonjwa tu kwenye magari.
Unapoteza muda na kumtia hasara mteja. Unahisi kitu fulani unanunua unapachika bado tatizo lipo. Hutoboi.
Zama hizi mtu unachoma chips kwenye majiko ya mkaa , Moshi kama kiwanda cha kuchakata bangi. Nunua jiko la umeme la kichina, gharama ya kuliendesha ni ndogo kuliko hata mkaa na litakupunguzia possibility ya kufa mapema na magonjwa ya kifua.
Zama hizi umekaa na taxi yako unasubiri wateja. Umerogwa?
Tengeneza channel za wateja ufanye kazi kwa promise au jiunge na mitandao kama Taxify, Bolt n.k.
Zama hizi fundi nguo unamkuta yupo yupo tu, hajui hata mitindo mipya, jisajili uwe na kikampuni, nenda kwenye ofisi za umma uombe tenda za t-shirts, na sare za kazini.
Walimu nanyi badilikeni msisubiri matamko ya wanasiasa. Hivi zama hizi ni sahihi kutembea kwenye corridor na libakora lako?
Mmerogwa?
Polisi nanyi badilikeni msisubiri matamko ya wanasiasa, hivi zama hizi inakuwaje hujui kutumia computer, hujui kuendesha gari na pikipiki, zama hizi bado kuna wengine mbatembea na virungu. Acheni.
Nakuja kuendelea.